RATIBA YA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE VITI MAALUMU MAREHEMU MARIAM SALUM MFAKI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Marehemu Mariam Salum Mfaki kilichotokea jana tarehe 21 Julai 2015 Saa Nne Asubuhi katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alikokuwa amelazwa kwa matibabu, Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia yake tunapenda kutoa taarifa ya shughuli ya mazishi kama ifuatavyo:Ratiba ya Mazishi itaanza saa Tisa Alasiri kwa Mwili wa Marehemu kuondolewa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kuelekea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
UPDATES: MBUNGE WA VITI MAALUM MH. MARIAM SALUM MFAKI AMEFARIKI DUNIA LEO

Mbunge wa Viti maalum CCM kwa Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Salum Mfaki , Amefariki Dunia Mchana wa leo tarehe 21/07/2015. Hadi mauti yanamkuta alikuwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa Dodoma (General Hospital)
Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu Muhammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012.endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
10 years ago
GPL
TANZIA: MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA DODOMA, MARIAM MFAKI AFARIKI DUNIA
MBUNGE wa Viti Maalum, Mariam Mfaki (CCM), amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alipokuwa amelazwa. Marehemu amekuwa mbunge kwa vipindi vitatu, 2010 - 2015, 2005 - 2010 na 2000 - 2005. Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Mohammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amen. ...
10 years ago
Daily News21 Jul
Mariam Mfaki (MP) is dead
Daily News
SPECIAL Seats MP for Dodoma Region on CCM ticket, Mariam Mfaki (69), is dead. The Clerk of the National Assembly, Dr Thomas Kashililah, confirmed to the 'Daily News' that the parliamentarian died today morning at the Dodoma Regional Hospital after a ...
11 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
Michuzi
MBUNGE WA VITI MAALUM MARIAM DITOPILE KUWAKILISHA VIJANA JIJINI LONDON,KUKUTANA NA WABUNGE MBALIMBALI JIJINI HUMO
Mbunge wa Viti maalum Anaewakilisha Vijana jana Mariam Ditopile yupo jijini London Uingereza kwa ajili ya kukutana na Wabunge mbalimbali wa Nchi hiyo kuwaeleza hatua kubwa zilizopigwa na serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dr Magufuli kwenye Sekta ya Afya kwa kutumia pesa za Ndani za walipa kodi.
Pia mafanikio ya Mambo ya Lishe huku Uingereza akiwa mdau mkubwa kupiga Dfid na kuomba waendelee kuunga mkono juhudi za serikali kwani mambo yanayofanyika ni makubwa mno.Pia kwa kipekee jana...
Pia mafanikio ya Mambo ya Lishe huku Uingereza akiwa mdau mkubwa kupiga Dfid na kuomba waendelee kuunga mkono juhudi za serikali kwani mambo yanayofanyika ni makubwa mno.Pia kwa kipekee jana...
10 years ago
Vijimambo
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CCM Lindi ajiunga na CUF

Na Khamis Haji OMKR
Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi kutoka mkoa wa Lindi, Riziki Said Rurida amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Wananchi CUF.
Rurida alitangaza kukihama chama hicho na kukabidhiwa kadi ya CUF na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara wa CUF...
11 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania