Ray C aokoe wanaokaribia kutumbukia shimoni, awaache walio shimoni tayari?
Harakati za Rehema Chalamila aka Ray C ama ‘kiuno bila mfupa’ kama alivyokuwa akijulikana zamani za kukiokoa kizazi kipya cha vijana wa Tanzania dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, zinakumbana na majaribu mazito. Tangu muimbaji huyo wa zamani aokoke kutoka katika shimo la umauti lililojichimba kutokana na kuathirika kwake na dawa hizo kiasi cha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Masatu: Simba imo shimoni
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Watoto watumbukia shimoni, wafa
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
Wachimbaji sita wa mgodi watoka shimoni
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mtoto afia chooni, mwingine shimoni
WATOTO wawili wamekufa mkoani hapa, mmoja kwa kutumbukia chooni na mwingine kwa kuzama kwenye shimo lililokuwa na maji. Katika tukio la kwanza, mtoto John Mwapwani (3) alitumbukia chooni alipokwenda kujisaidia katika Mtaa wa Skanda, Kata ya Chemchem, Manispaa ya Tabora.
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Wafanyabiashara shimoni Kariakoo walilia taa
WAFANYABIASHARA wa soko kuu la Kariakoo eneo la shimoni, wameutaka uongozi wa soko hilo kuboresha miundombinu ya taa na viyoyozi ili kunusuru afya zao. Wakizungumza na Tanzania Daima kwa nyakati...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Mbaroni kwa kumfukia mtoto shimoni
FAIDA Mohammed Salum (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumtupa mtoto mchanga aliyejifungua siku moja tu na kumfukia shimoni eneo la Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Aliyekufa na mganga wa jadi shimoni azikwa humohumo
KIKOSI cha uokoaji kimeshindwa kuupata mwili wa Zuberi Kaima (45) ambaye yeye pamoja na mganga wa jadi, Sophiani Khamis (60) walisadikiwa kufa kwa kukosa hewa kwenye shimo walilokuwa wakichimba dhahabu.
11 years ago
GPLGARI LATUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WAZIPIGA KUGOMBEA MGAO WA KULINASUA
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Mzimu wa walio tayari usiachwe, utaiua EAC