Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Singida azindua bodi ya PAROLE ni ile inayotoa misamaha kwa wafungwa

DSC04669

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Parole mkoa wa Singida. Kushoto ni mwenyekiti mpya wa Parole mkoa wa Singida, Sheikh Salum Mohammed Mahami.

Na Nathaniel Limu, Singida

BAADHI ya wafungwa wenye sifa ya kufaidika na misamaha inayotolewa na bodi ya Parole mkoani Singida,wanakosa fursa hiyo kutokana na baadhi ya mahakimu kuchelewesha utoaji wa hati za hukumu;imeelezwa.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BODI ZA PAROLE NCHINI

Mwenyekiti wa Parole Taifa, Mhe. Dkt. Augustino Mrema akisoma taarifa fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi azindue Bodi ya Taifa Parole leo Mei 14, 2020 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni(Mb) akitoa hotuba katika hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi ya Taifa Parole Taifa, leo Mei 14, 2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, jijini Dodoma.Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ambaye pia ni Katibu wa Bodi ya Taifa Parole akitoa maelezo...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO azindua kwa kishindo kampeni za CCM Singida

IMG_0216

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida Mjini.(Picha na Geofrey Mwakibete wa MOblog).

IMG_0223

Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika Kibaoni mjini Singida.

IMG_0167

Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Dewji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, azindua bodi ya wadhamini mfuko wa fidia kwa wafanyakazi, WCF

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake,   Bw. Emmanuel Humba.

Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Bw. Emmanuel Humba akipokea chati cha usajili wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, GAUDENSIA KABAKA, AZINDUA BODI YA WAFHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF

 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake,   Bw. Emmanuel Humba
 Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyoKWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Yanga itakuwa ile ile na mafanikio zaidi

Ni wakati wa Yanga kujipambanua na kuishi kutokana na ubora wake na uwingi wake wa mashabiki ilionao sehemu mbalimbali nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani