RC Tanga akumbusha uhifadhi chakula
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amewataka wakazi wa Wilaya ya Kilindi na Korogwe mkoani Tanga kuhifadhi chakula ndani ili kuweza kukabiliana na kitisho cha njaa kwa baadhi ya maeneo kutokana na uhaba wa mvua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA WARSHA YA UHIFADHI IKISHIRIKISHA TANAPA NA BAADHI YA WADAU WA UHIFADHI
Mgeni Rasmi katika Warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Mkoa wa Mororgoro Joel Bendera (wa tatu toka kulia) akiwa na viongozi wengine,toka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP, Leonard Paul, Mkuu wa...
11 years ago
Michuzi25 Jul
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Papa akumbusha makasisi waliodhalilisha
10 years ago
Habarileo20 Oct
Mangula akumbusha Nyerere alivyokataa Serikali tatu
SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuimwagia sifa Katiba Inayopendekezwa, huku akisema 'Sijui angekuwa na kauli gani kama ingependekeza Serikali Tatu’, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula amesema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipinga mfumo wa Serikali Tatu tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961.
10 years ago
Habarileo30 Nov
Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.
11 years ago
Habarileo30 Dec
Dk Shein akumbusha usiri kwa mpigachapa wa serikali
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein ametaka watumishi wa Idara ya Upigajichapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali kuzingatia usiri katika utendaji wao.
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Jaji akumbusha machungu kifo cha Daudi Mwangosi
NA SHABANI MATUTU,DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) aliyemaliza muda wake, Jaji Amir Manento, ameonyesha kutofurahishwa na Serikali kushindwa kutekeleza ripoti iliyotolewa na tume hiyo kuhusu mauaji ya mwandishi wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.
Jaji Maneto aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana, wakati wa hafla ya kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa tume hiyo, Bahame Nyanduga na makamishna wake.
“Pamoja na kustaafu, jambo...
9 years ago
VijimamboMAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.