Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa akumbusha makasisi waliodhalilisha

Papa Francis amehutubia maaaskofu huko nchini Marekani katika siku ya pili ya ziara yake na kuwasifu kwa jinsi walivyokabiliana na kashfa ya udhalilishaji wa kimapenzi inayowakabili makasisi takriban miaka kumi iliyopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Papa Benedict aliwatimua makasisi 400

Takwimu zimejitokeza kuhusu idadi ya makasisi waliotimuliwa na Papa wa zamani Benedict kufuatia madai ya kuwalawiti watoto.

 

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Tanga akumbusha uhifadhi chakula

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amewataka wakazi wa Wilaya ya Kilindi na Korogwe mkoani Tanga kuhifadhi chakula ndani ili kuweza kukabiliana na kitisho cha njaa kwa baadhi ya maeneo kutokana na uhaba wa mvua.

 

10 years ago

Habarileo

Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein akumbusha usiri kwa mpigachapa wa serikali

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein ametaka watumishi wa Idara ya Upigajichapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali kuzingatia usiri katika utendaji wao.

 

10 years ago

Habarileo

Mangula akumbusha Nyerere alivyokataa Serikali tatu

SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuimwagia sifa Katiba Inayopendekezwa, huku akisema 'Sijui angekuwa na kauli gani kama ingependekeza Serikali Tatu’, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula amesema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipinga mfumo wa Serikali Tatu tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1961.

 

11 years ago

BBCSwahili

Makasisi kuwekewa vikwazo. Kunani?

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowalawiti watoto na kutishia kuwawekea vikwazo

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake acheni kuzengea makasisi

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi amewataka akina mama kuacha kuwazengea makasisi, hatua inayoweza kuwafanya kukacha kiapo chao cha useja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Makasisi watakaowanajisi watoto watakiona

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amebuni kamati ya Vatican itakayopambana na visa vya unajisi wa watoto katika kanisa katoliki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani