Makasisi kuwekewa vikwazo. Kunani?
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowalawiti watoto na kutishia kuwawekea vikwazo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Ugiriki yazidi kuwekewa vikwazo
Benki kuu ya jumuiya ya Ulaya imeongeza mbinyo wa mfumo wa kifedha kwa Ugiriki ikiwa ni siku moja baada ya kura ya hapana.
11 years ago
BBCSwahili10 May
Francois Bozize kuwekewa vikwazo
Wajumbe katika umoja wa mataifa wanasema kuwa wamekubaliana kumuwekea vikwazo aliyekuwa rais wa jamhuri ya afrika ya kati.
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Putin alalama kuwekewa vikwazo
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Marekani na Umoja wa Ulaya, EU hautaathiri Urusi tu pekee isipokua uchumi wa Dunia.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Urusi kuwekewa vikwazo zaidi
Urusi kuwekewa vikwazo kufuatia kuhusishwa na mashambulizi Mashariki mwa Ukraine
11 years ago
BBCSwahili05 Dec
Makasisi watakaowanajisi watoto watakiona
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amebuni kamati ya Vatican itakayopambana na visa vya unajisi wa watoto katika kanisa katoliki
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wanawake acheni kuzengea makasisi
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi amewataka akina mama kuacha kuwazengea makasisi, hatua inayoweza kuwafanya kukacha kiapo chao cha useja.
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Makasisi waliotekwa nyara waachiliwa.
Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram wameachiliwa
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Papa akumbusha makasisi waliodhalilisha
Papa Francis amehutubia maaaskofu huko nchini Marekani katika siku ya pili ya ziara yake na kuwasifu kwa jinsi walivyokabiliana na kashfa ya udhalilishaji wa kimapenzi inayowakabili makasisi takriban miaka kumi iliyopita.
11 years ago
BBCSwahili17 Oct
Makasisi wanaounga mkono ushoga
Askofu na kadinali wa Chile ,Ricardo Ezzati, alituma ujumbe wa siri akilalamikia Vatican kuwahusu makasisi hao wanaotetea ushoga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania