Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makasisi waliotekwa nyara waachiliwa.

Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram wameachiliwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA

Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwaJeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.Katika taarifa, Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema watu hao waliokolewa katika oparesheni iliyofanyika katika eneo la Gamoru jimboni Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria  John Enenche amesema mateka hao ni pamoja na wanawake 105 na watoto 136, ambao wameokolewa wilayani Mudu kwenye operesheni iliyofanywa na vikosi vya Lafiya Dole Jumapili, na sasa wako...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake acheni kuzengea makasisi

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi amewataka akina mama kuacha kuwazengea makasisi, hatua inayoweza kuwafanya kukacha kiapo chao cha useja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa akumbusha makasisi waliodhalilisha

Papa Francis amehutubia maaaskofu huko nchini Marekani katika siku ya pili ya ziara yake na kuwasifu kwa jinsi walivyokabiliana na kashfa ya udhalilishaji wa kimapenzi inayowakabili makasisi takriban miaka kumi iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Makasisi kuwekewa vikwazo. Kunani?

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowalawiti watoto na kutishia kuwawekea vikwazo

 

10 years ago

BBCSwahili

Makasisi wanaounga mkono ushoga

Askofu na kadinali wa Chile ,Ricardo Ezzati, alituma ujumbe wa siri akilalamikia Vatican kuwahusu makasisi hao wanaotetea ushoga

 

11 years ago

BBCSwahili

Makasisi watakaowanajisi watoto watakiona

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amebuni kamati ya Vatican itakayopambana na visa vya unajisi wa watoto katika kanisa katoliki

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa Benedict aliwatimua makasisi 400

Takwimu zimejitokeza kuhusu idadi ya makasisi waliotimuliwa na Papa wa zamani Benedict kufuatia madai ya kuwalawiti watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Makasisi wapewa kichapo cha Mbwa Guinea

Makasisi watatu wa kanisa la Baptist nchini Guinea wamechapwa na kisha kiuetkwa nyara baada ya wenyeji kudhania kwamba walikuwa maafisa wanaohamasisha jamii dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahubiri wa TZ waliotekwa kuwachiliwa

Mtu anayeongoza mazungumzo ya kuachiliwa huru kwa wahubiri saba wa kiislamu kutoka Tanzania waliotekwa nyara wiki iliopita ameiambia BBC kwamba makubaliano ya kuwaachilia huru huenda yakaafikiwa hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani