Wahubiri wa TZ waliotekwa kuwachiliwa
Mtu anayeongoza mazungumzo ya kuachiliwa huru kwa wahubiri saba wa kiislamu kutoka Tanzania waliotekwa nyara wiki iliopita ameiambia BBC kwamba makubaliano ya kuwaachilia huru huenda yakaafikiwa hivi karibuni.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Serikali ya Zimbabwe yategemea wahubiri
Serikali ya Zimbabwe inaendelea kukabiliwa na matatizo katika kuafikia malengo yake ya kifedha, kwa hivyo imeanza kuwategemea wahubiri maarufu wanaojitambulisha kama manabii
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
'Wahubiri' wageuka washambuliaji Nigeria
Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wameshambulia wanakijiji na kuwaua watu 45 baada ya kuwahadaa kuwa wao ni wahubiri
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Viongozi wa dini nchini wahubiri amani
>Viongozi wa dini katika makanisa mbalimbali nchini, wametumia Sikukuu ya Krismasi kuhubiri amani, kulaani ubinafsi huku wakiitaka Serikali kuhakikisha inawang’oa viongozi mizigo ambao ndio chanzo cha umaskini nchini.
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Waliowateka nyara wahubiri wataka fidia
Watu waliojihami kwa bunduki wametaka kulipwa fidia ili wawaachilie wahubiri sita wa kiislamu waliotekwa nyara mashariki mwa jimbo la kivu katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mauaji ya wahubiri yazua taharuki Mandera
Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi, kuwatawanya vijana wanaopinga mauaji ya wahubiri wawili wa kiisilamu mjini Mandera,Kaskazini mwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wahubiri bandia watapeli watu Ghana
Huko Afrika magharibi Ghana inakisiwa kuwa na makanisa zaidi ya elfu sitini.Unaweza kufikiri kuwa hili ni jambo jema katika kuilea nchi hiyo kimaadili. Lakini Polisi wanafikiri vingine na kuwaonya wananchi wa Ghana kuwa makini.
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA BARAZA LA MAIMAMU NA WAHUBIRI KENYA AUAWA
Sheikh Mohammed Idris, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maimamu na Wahubiri nchini Kenya, ameuawa karibu na msikiti ulio karibu na nyumba yake na watu wasiojulikana leo asubuhi. Duru zinasema kuwa alikuwa amepokea vitisho kutoka kwa vijana wenye itikadi kali za kidini na tayari alikuwa ameelezea hofu juu ya maisha yake. Wahubiri kadhaa mashuhuri wameuawa katika hali ya kutatanisha katika miaka ya hivi karibuni. Wengine waliuawa...
11 years ago
BBCSwahili12 May
Boko H: Waonyesha wasichana waliotekwa
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu serikali itawaachilia huru wapiganaji wake.
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
Wakenya waliotekwa 2011 waokolewa
Wakenya wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya kibinadamu ambao walikuwa wametekwa mwaka 2011 wameokolewa na majeshi ya Kenya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania