MWENYEKITI WA BARAZA LA MAIMAMU NA WAHUBIRI KENYA AUAWA
Sheikh Mohammed Idris, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maimamu na Wahubiri nchini Kenya, ameuawa karibu na msikiti ulio karibu na nyumba yake na watu wasiojulikana leo asubuhi. Duru zinasema kuwa alikuwa amepokea vitisho kutoka kwa vijana wenye itikadi kali za kidini na tayari alikuwa ameelezea hofu juu ya maisha yake. Wahubiri kadhaa mashuhuri wameuawa katika hali ya kutatanisha katika miaka ya hivi karibuni. Wengine waliuawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMwenyekiti auawa, viungo vyapikwa kama mboga
9 years ago
GPLBREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA AUAWA
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mwenyekiti auawa, viungo vyapikwa kama mboga
10 years ago
Habarileo25 Jan
Mwenyekiti ACT auawa na viungo vyake kupikwa nyama
MWENYEKITI wa kitongoji cha Songambele katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kupitia chama cha ACT, Richald Madirisha (31) ameuawa kwa kuchinjwa na kiwiliwili chake kutenganishwa akituhumiwa kunyang’anya mke wa mtu.
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Jaji Bwana Mwenyekiti Baraza UB
BODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk. Stephen Bwana kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Habarileo09 Sep
Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya
SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.
10 years ago
MichuziUTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
===== ====UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete, amemteua Mhandisi, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 10 Aprili 2015.
Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Kifungu Na. 4 cha Sheria Na. 7 ya Mwaka 1986 iliyounda Tume ya...
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Pinda akutana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China Afrika
WAziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tanzania – China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice...
10 years ago
Michuzi17 Aug
JAJI BWANA NDIYE MWENYEKITI MPYA BARAZA LA CHUO KIKUU HA BAGAMOYO (UB)
Na Mwandishi Wetu
BODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk.Stephen Bwana Kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Mikocheni Dar Es Salaam, Dk.William Kudoja alisema Bodi ya Wadhamini ya chuo hicho ambayo Inaongozwa na Professa Paramaganda Kabudi Ndiyo ilimteua Jaji Bwana kushika wadhifa huo mpya baada ya kuona Ana sifa za vigezo Vya...