Wahubiri bandia watapeli watu Ghana
Huko Afrika magharibi Ghana inakisiwa kuwa na makanisa zaidi ya elfu sitini.Unaweza kufikiri kuwa hili ni jambo jema katika kuilea nchi hiyo kimaadili. Lakini Polisi wanafikiri vingine na kuwaonya wananchi wa Ghana kuwa makini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Daktari bandia aliwaambukiza ukimwi watu 100
Mwanaume mmoja aliyejidai kuwa daktari na kuwaambukiza watu zaidi ya mia moja virusi amefikishwa mahakamani nchini Cambodia.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Awatisha watu kwa bunduki bandia studioni
Mtu aliyekuwa amebeba bunduki bandia amekamatwa ndani ya studio ya matangazo ya televisheni nchini Uholanzi na kusababisha matangazo kusitishwa kwa muda.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Jela kwa kuwauzia watu Mvinyo bandia
Mwanamume aliyewalaghai watu kwa kuwauzia mvinyo bandia,amefungwa jela kwa miaka kumi kutozwa faini ya dola milioni 20
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZ:WATU NANE WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE WAKIINGIA NCHINI KWA PASPOTI BANDIA ZA MATAIFA TOFAUTI YA ULAYA
Idara ya Uhamiaji nchini imewakamata raia wanane wa kigeni (pichani chini) wakati wakiingia nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere wakiwa na pasipoti bandia za kusafiria za Mataifa tofauti ya Ulaya. Wageni hao walikuwa wakijaribu kuingia nchini leo tarehe 15.08.2014 majira ya saa nane na nusu usiku kwa ndege ya shirika la ndege la Uturuki yenye Namba TK 603, wakitokea Uturuki na kujitambulisha kuwa ni raia wa Sweden na Belgium. Maofisa Uhamiaji katika kituo...
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Wahubiri wa TZ waliotekwa kuwachiliwa
Mtu anayeongoza mazungumzo ya kuachiliwa huru kwa wahubiri saba wa kiislamu kutoka Tanzania waliotekwa nyara wiki iliopita ameiambia BBC kwamba makubaliano ya kuwaachilia huru huenda yakaafikiwa hivi karibuni.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
'Wahubiri' wageuka washambuliaji Nigeria
Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wameshambulia wanakijiji na kuwaua watu 45 baada ya kuwahadaa kuwa wao ni wahubiri
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Serikali ya Zimbabwe yategemea wahubiri
Serikali ya Zimbabwe inaendelea kukabiliwa na matatizo katika kuafikia malengo yake ya kifedha, kwa hivyo imeanza kuwategemea wahubiri maarufu wanaojitambulisha kama manabii
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Waliowateka nyara wahubiri wataka fidia
Watu waliojihami kwa bunduki wametaka kulipwa fidia ili wawaachilie wahubiri sita wa kiislamu waliotekwa nyara mashariki mwa jimbo la kivu katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mauaji ya wahubiri yazua taharuki Mandera
Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi, kuwatawanya vijana wanaopinga mauaji ya wahubiri wawili wa kiisilamu mjini Mandera,Kaskazini mwa Kenya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania