Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Real Madrid mabingwa

Real Madrid ya Hispania juizi ilitwaa ubingwa wa michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia ya Fifa kwa kuichapa San Lorenzo ya Argentina kwa mabao 2-0 katika mechi ya fainali juzi na sasa imetwaa mataji manne msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid wang'ara Ligi ya Mabingwa

Ronaldo alipachika goli lake la 58 katika michezo 58 ya Ligi Kuu wakati Real Madrid ikiirarua Schalke 2-0

 

11 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ni mabingwa wa Copa del Rey

Bao la dakika za mwisho la Gareth Balelaisaidia Real Madrid kuilaza Barcelona 2-1 na Kunyanyua Kombe la Mfalme

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi ya Mabingwa Ulaya: Real Madrid yanusa robo fainali

Mechi za kwanza za marudiano katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2014/15 kuamua timu nane zitakazoingia robo fainali zitachezwa kesho na keshokutwa huku mechi nyingine zikimaliziwa wiki ijayo.

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA JUVENTUS YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA BAADA YA KUIONDOSHA REAL MADRID

Mabingwa watetezi wa kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya, timu ya soka ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia leo wamevuliwa ubingwa huo na bibi kizee cha Turin, Juventus ya Italia baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1. 
Katika mchezo huo wa marudiano wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Juventus imesonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia, Juventus iliifunga Real Madrid magoli 2-1. Katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya

Marufuku ya kucheza kwa miaka miwili ligi hiyo kuanzia msimu ujao - inastahili kuwapa motisha City.

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani