Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Real, San Lorenzo nani Bingwa wa dunia?

Klabu ya San Lorenzo wamefuzu kucheza fainali ya kombe la dunia kwa vilabu baada ya kuilaza Auckland City 2-1 .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

11 years ago

GPL

REAL MADRID BINGWA

Timu ya Real Madrid imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga Atletico Madrid mabao 4-1 muda wa nyongeza kwenye fainali iliyochezwa Lisbon, Ureno hivi punde!

 

11 years ago

Mwananchi

Nani bingwa England leo?

London, England. Pazia la Ligi Kuu England linafungwa leo jioni kwa michezo yote 10 kupigwa katika muda mmoja, ambapo burudani zaidi ni kupatikana kwa bingwa katika michezo ya mwisho.

 

10 years ago

GPL

MAYWEATHER VS PACQUIAO NANI BINGWA?

Mayweather na Pacquiao wakitambiana. Japo tayari ni tajiri, Mayweather ambaye jina lake la utani ni Money, atapokea zaidi ya dola milioni 150 na Pacquiao kama dola milioni 100.Ni Mayweather au Pacquiao Las Vegas? Pacquiao yeye ametoka jamii ya kimaskini huko Ufilipino na kuna wakati katika maisha yake ya utotoni aliwahi kulala njaa. Floyd Mayweather akipima uzito. Achilia mbali wanaoangalia kwenye TV, wengi wa mashabiki  huko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather Vs Pacquiao:Nani bingwa?

Mayweather atarajiwa kupokea zaidi ya dolla millioni $150m na Pacquiao kama millioni $100m.

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ndio kilabu bingwa duniani

Real Madrid imeshinda taji lao la nne mwaka 2014 baada ya kuwashinda mabingwa wa Marekani Kusini kutoka Argentina San Lorenzo

 

9 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kidedea klabu Bingwa Ulaya.

Michuano ya klabu Bingwa ulaya imeendelea kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya makundi kuelekea hatua ya 16 bora.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bingwa wa muziki wa Blues aaga dunia

B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani