Refund: Ujio Mpya, Johari Ameanza Kutimiza Ahadi Yake!
Mrembo na muigizaji wakike wa filamu mwenye kipaji cha hali ya juu, Blandina Chagula “Johari” ameanza kutimiza ahadi yake aliyoitoa kwaka jana kuwa mwaka huu ni mwaka wa kazi tu.
Ameanza na hii, ingawa hakuweka wazi ni lini hasa itaingia sokoni, filamu yake hii mpya inayokwenda kwa jina la Refund ambayo pamoja nae,wakali kama Juma Chikoka ‘Chopamchopanga’ na Haji Adam na wengine wengi wameshiriki kwenye filamu hii.
Kwamaneno mafupi Johari alisema;
“Kama nilivyoahidi mashabiki wangu 2015...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Dec
Ujio Mpya wa Johari, Mjasiriamali Anaeuza Ndizi
Muigizaji mkongwe wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amabae pia ni mkurugezi wa kampuni ya RJ ambayo inajihusisha na utengenezaji wa filamu hapa nchini. Hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM aliweka picha hii,akionekana kichwani amejitwisha beseni lenye ndizi, yani kama mdada muuza ndizi anaetembea majumbani.Kwenye picha hii Johari aliandika kuwa hii ndio kazi yake mpya inayokuja japokuwa hakusema ni lini itakoka na hata jina la filamu hiyo hakulisema.
Johari...
5 years ago
Bongo514 Feb
Barakah The Prince aeleza kuhusu ujio wa albamu yake mpya
Msanii wa muziki kutoka RockStar4000, Barakah The Prince amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.
Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake.
“Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.
Alisema kila msanii wa label hiyo ana...
10 years ago
Bongo523 Aug
Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao
10 years ago
Michuzi23 Sep
muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"
FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
JK aombwa kutimiza ahadi
WANANCHI wa Jimbo la Ulanga Magharibi mkoani Morogoro, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake ya uchaguzi za mwaka 2010, ya kuwapatia wilaya mpya kwa mipaka ya kimajimbo. Walisema kuwa...