Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujio Mpya wa Johari, Mjasiriamali Anaeuza Ndizi

Muigizaji mkongwe wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amabae pia ni mkurugezi wa kampuni ya RJ ambayo inajihusisha na utengenezaji wa filamu hapa nchini. Hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM aliweka picha hii,akionekana kichwani amejitwisha beseni lenye ndizi, yani kama mdada muuza ndizi anaetembea majumbani.Kwenye picha hii Johari aliandika kuwa hii ndio kazi yake mpya inayokuja japokuwa hakusema ni lini itakoka na hata jina la filamu hiyo hakulisema.

Johari...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Refund: Ujio Mpya, Johari Ameanza Kutimiza Ahadi Yake!

Mrembo na muigizaji wakike wa filamu mwenye kipaji cha hali ya juu, Blandina Chagula “Johari” ameanza kutimiza ahadi yake aliyoitoa kwaka jana kuwa mwaka huu ni mwaka wa kazi tu.

Ameanza na hii, ingawa hakuweka wazi ni lini hasa itaingia sokoni, filamu yake hii mpya inayokwenda kwa jina la Refund ambayo pamoja nae,wakali kama Juma Chikoka ‘Chopamchopanga’ na Haji Adam na wengine wengi wameshiriki kwenye filamu hii.

Kwamaneno mafupi Johari alisema;

“Kama nilivyoahidi mashabiki wangu 2015...

 

9 years ago

Bongo5

Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’

qchief

Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’

Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.

Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.

“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.

Amedai...

 

9 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

20 Percent apania ujio mpya

STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyefanya vema na kibao cha ‘Money Money’, Hamis Kinzasa ‘20 Percent’ amesema anatarajia ujio wake mpya utalitangaza soko la muziki wake vizuri ukitofautisha...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

UJIO WA TUZO MPYA ZA WATU 2014

Mwaka 2009, wazo jipya lilizaliwa. Wazo la kuwa na tuzo zitakazopatikana kwa mchakato wa wazi utakaotokana na mapendekezo ya watu wenyewe ya kuchagua mastaa wa michezo, muziki, filamu au vipindi na watangazaji wanaopendwa zaidi. Wazo hilo liliendelea kuboreshwa na mwaka huu (2014), limeiva na liko tayari kutoka kwenye hatua ya wazo la kichwani, na kuwa tukio lenyewe.
"Nilizisajili na kuanzisha mwaka 2009 ila kutokana na mipango na malengo ya kampuni niliamua kuziweka kwanza hadi sasa,"...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

Q - CHILA AFUNGUKA UJIO WAKE MPYA

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akifunguka ndani ya studio za Global TV Online. TUNAENDELEA na simulizi ya staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaaban Katwila ‘Q- Chillah’, wiki iliyopita iliishia pale alipoelezea juu ya kilichomtokea katika msiba wa msanii wa filamu, Adam Kuambiana, alisema marehemu ndiye aliyegundua kipaji chake cha kuigiza, songa nayo sasa…
(Anainamisha kichwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani