Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJIO WA TUZO MPYA ZA WATU 2014

Mwaka 2009, wazo jipya lilizaliwa. Wazo la kuwa na tuzo zitakazopatikana kwa mchakato wa wazi utakaotokana na mapendekezo ya watu wenyewe ya kuchagua mastaa wa michezo, muziki, filamu au vipindi na watangazaji wanaopendwa zaidi. Wazo hilo liliendelea kuboreshwa na mwaka huu (2014), limeiva na liko tayari kutoka kwenye hatua ya wazo la kichwani, na kuwa tukio lenyewe.
"Nilizisajili na kuanzisha mwaka 2009 ila kutokana na mipango na malengo ya kampuni niliamua kuziweka kwanza hadi sasa,"...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TUZO ZA WATU 2014 #MTANGAZAJI ANAYEPENDWA‏

Maryam David Kitosi ni jina la mtangazaji mahiri ambaye sauti yake inasikika kila siku kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana katika kituo cha Radio cha 100.5 Times fm kwenye kipindi cha "HATUA TATIU" Ni mtangazaji ambaye amechaguliwa kuwania TUZO ZA WATU 2014 katika kipengele cha "MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA" baada ya kuwa kipenzi cha wasikilizaji wa Redio kutokana na umahiri mzuri alionao katika kufikisha habari,...

 

11 years ago

Michuzi

BONGO5 MEDIA GROUP YATANGAZA MAJINA YATAKAYOWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA, 2014

Tarehe 29 April, Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza majina yatakayoingia kwenye tuzo za mwaka huu. Wananchi walishiriki kupiga kura kupitia njia ya mtandao kwenye tovuti ya www.tuzozetu.com, na kwa njia ya ujumbe mfupi wa  simu za mkononi.


Awamu ya kwanza ya upigaji kura iliyodumu kwa wiki mbili na siku kadhaa imekua ikikusanya majina matano kwenye kila kipengele kama ifuatavyo:...

 

11 years ago

Tanzania Daima

20 Percent apania ujio mpya

STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyefanya vema na kibao cha ‘Money Money’, Hamis Kinzasa ‘20 Percent’ amesema anatarajia ujio wake mpya utalitangaza soko la muziki wake vizuri ukitofautisha...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

Q - CHILA AFUNGUKA UJIO WAKE MPYA

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akifunguka ndani ya studio za Global TV Online. TUNAENDELEA na simulizi ya staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaaban Katwila ‘Q- Chillah’, wiki iliyopita iliishia pale alipoelezea juu ya kilichomtokea katika msiba wa msanii wa filamu, Adam Kuambiana, alisema marehemu ndiye aliyegundua kipaji chake cha kuigiza, songa nayo sasa…
(Anainamisha kichwa...

 

9 years ago

Vijimambo

ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani