Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA WATU 2014 #MTANGAZAJI ANAYEPENDWA‏

Maryam David Kitosi ni jina la mtangazaji mahiri ambaye sauti yake inasikika kila siku kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana katika kituo cha Radio cha 100.5 Times fm kwenye kipindi cha "HATUA TATIU" Ni mtangazaji ambaye amechaguliwa kuwania TUZO ZA WATU 2014 katika kipengele cha "MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA" baada ya kuwa kipenzi cha wasikilizaji wa Redio kutokana na umahiri mzuri alionao katika kufikisha habari,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UJIO WA TUZO MPYA ZA WATU 2014

Mwaka 2009, wazo jipya lilizaliwa. Wazo la kuwa na tuzo zitakazopatikana kwa mchakato wa wazi utakaotokana na mapendekezo ya watu wenyewe ya kuchagua mastaa wa michezo, muziki, filamu au vipindi na watangazaji wanaopendwa zaidi. Wazo hilo liliendelea kuboreshwa na mwaka huu (2014), limeiva na liko tayari kutoka kwenye hatua ya wazo la kichwani, na kuwa tukio lenyewe.
"Nilizisajili na kuanzisha mwaka 2009 ila kutokana na mipango na malengo ya kampuni niliamua kuziweka kwanza hadi sasa,"...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YATANGAZWA MSHINDA WA TUZO ZA MWAJIRI BORA 2014‏

Waziri Mkuu Mizengo Pinda(wapili toka kulia)akimkabidhi kombe la Mwajiri bora 2014 Ofisa Mkuu wa Idara ya rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Dr.Fredy Mwita(watatu toka kushoto) waliloshinda toka chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) baada ya kuyashinda makampuni mbalimbali yaliyoshindanishwa kuwania tuzo hizo katika hafla ilifanyika jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo ilishinda tuzo mbalimbali katika Nyanja tofauti,Wengine katika picha...

 

11 years ago

Michuzi

BONGO5 MEDIA GROUP YATANGAZA MAJINA YATAKAYOWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA, 2014

Tarehe 29 April, Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza majina yatakayoingia kwenye tuzo za mwaka huu. Wananchi walishiriki kupiga kura kupitia njia ya mtandao kwenye tovuti ya www.tuzozetu.com, na kwa njia ya ujumbe mfupi wa  simu za mkononi.


Awamu ya kwanza ya upigaji kura iliyodumu kwa wiki mbili na siku kadhaa imekua ikikusanya majina matano kwenye kila kipengele kama ifuatavyo:...

 

11 years ago

GPL

FILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” YATWAA TUZO TATU TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014‏

Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar, Bw. Samuel(kulia) Bond na Mkewe Jenny Bond...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL SMARTFONIKA YAMFIKIA MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS TV‏

 Ofisa Mauzo wa Airtel, Salma Juma akimuelekeza jambo Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds, Ephraim Kibonde kabla ya kumsmartfonika simu ya kisasa mapema wiki hii katika duka la  wazi la Airtel lililopo Game Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga.  Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga (kulia), akimsmartfonika simu Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds,...

 

9 years ago

Vijimambo

ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.  Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuu wa wa Wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani