Rekodi ya 2010/11 huenda ikajirudia
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Vodacom msimu huu imekuwa na utata mkubwa kutokana na ugumu uliogubika mbio za ubingwa.Mpaka sasa mzunguko wa pili wa ligi ukiwa unaendelea, bado ni vigumu kutabiri ni timu gani inaweza kutwaa ubingwa.Kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo kuna vita kali baina ya mabingwa watetezi Azam FC na Yanga, wote wakiwa na pointi 25 baada ya kushuka dimbani mara 13, lakini Azam FC wako juu kutokana na uwiano wake mzuri wa tofauti ya mabao ya kufunga na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.
Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.
Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...
9 years ago
TheCitizen26 Aug
Why 2010 polls were tough for JK
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
CCM na mzimu wa 2010 Mbeya
WAKATI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jijini Mbeya kikikuna kichwa jinsi ya kulirudisha jimbo hilo kat
Mwandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Wassira aonya makosa ya 2010
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wassira, amesema makosa ya mwaka 2010 yaliyofanyika katika chaguzi za serikali za mitaa, vitongoji na vijiji yakirudiwa tena, wapinzani watachukua...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Ufaransa kafuta mzimu wa 2010?
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Dk Slaa: Tulishinda urais 2010
10 years ago
BBCSwahili31 May
A-Kusini kombe la 2010 lilipiwa
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83259000/jpg/_83259350_83259341.jpg)
Fifa 'took bribes for 2010 World Cup'
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Mo Farah alikosa kufanyiwa ukaguzi 2010