Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaransa kafuta mzimu wa 2010?

Timu ya taifa ya Colombia imefanikiwa kuibuka na ushindi wa kwanza muhimu katika mchezo wao wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Ugiriki kwa mabao 3-0 jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

CCM na mzimu wa 2010 Mbeya

WAKATI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jijini Mbeya kikikuna kichwa jinsi ya kulirudisha jimbo hilo kat

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dodoma kuna mzimu au mbuyu?

WATU wengi wa Zanzibar wanajiuliza, hivi kule Dodoma kuna nini… mzimu au mbuyu ambao huwabadilisha mawazo baadhi ya Wazanzibari? Wapo wanaosema kama ni mzimu basi ni wenye nguvu isiyoelezeka.  Vilevile, ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye afufua mzimu wa elimu

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameviponda vyuo vikuu nchini akisema anashangazwa na ukimya wake hasa kipindi hiki ambapo serikali imetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa kutumia mfumo mpya wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzimu wa UKAWA unavyoitetemesha CCM

SIKUWAHI kuulizwa swali na askari wastaafu waliotumikia kazi zao kwa moyo na uadilifu mkubwa kwenye vikosi mbalimbali vya kijeshi, lakini sasa nimeulizwa maswali mengi tangu mchakato wa kuandikwa kwa katiba...

 

11 years ago

GPL

MZIMU WA RECHO WAMTESA SAGUDA

Stori: Erick Evarist WAKATI Arobaini ikitarajia kufanyika jana, mchumba wa marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda ameeleza kuwa bado aliyekuwa mchumba wake huyo anamtesa kwa kumtokea mara kwa mara. Marehemu Sheila Haule ‘Recho’, akiwa na mpenzi wake George Saguda enzi za uhai wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Saguda alisema marehemu amekuwa akimtokea akiwa usingizini na kumsisitiza kuhusu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mzimu wa Simba wamtesa Ngasa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngasa ameanza mgomo baridi ndani ya klabu hiyo, akishinikiza uongozi kumlipa deni lake la awamu ya pili ya usajili wakati alipotua klabuni hapo akitokea Simba. Usajili...

 

11 years ago

Habarileo

Mzimu wa Mandela wamkumba Zuma

Jacob ZumaWAKATI shujaa wa demokrasia duniani, Nelson Mandela akiwa amezikwa tangu juzi, kura ya maoni nchini Afrika Kusini, inaonesha kuwa mrithi wake wa masuala ya siasa, Jacob Zuma ambaye ni Rais wa nchi hiyo, amepoteza uungwaji mkono, kutokana na tuhuma za kujitajirisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Arfi atibua mzimu wa Serikali tatu

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Said Arfi (CHADEMA), jana alitimua hali ya hewa bungeni baada ya kugusia muundo wa Serikali tatu unaopendekezwa na rasimu ya katiba, akihoji wajumbe walio...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Uadilifu ni mzimu unaowatafuna viongozi

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), anasema tatizo kubwa linalolikabili Taifa hivi sasa ni kukosekana kwa uwajibikaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani