Ridhiwani kumbe jembe! mamia wafurika kwenye mikutano yake Singida
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa, Ridhiwani Kikwete akihutubia mamia ya wakazi wa tarafa ya Itigi jimbo la Manyoni magharibi.
Na Nathaniel Limu, Itigi
ZIARA ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM (NEC) Taifa, Ridhiwani Kikwete, aliyoifanya katika jimbo la Manyoni magharibi mkoani Singida hivi karibuni, imefunika kwa kuhudhuriwa na mamia ya wana CCM na wanachi kwa ujumla, kitendo ambacho hakikutarajiwa.
Aidha, hotuba zake alizotoa kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika katika vijiji...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AFUNIKA TABORA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI
10 years ago
Bongo503 Apr
Mamia wafurika kuangalia #Furious7 kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya sinema Dar tiketi zaisha
11 years ago
Dewji Blog26 May
Kinana akagua Ujenzi Daraja la Sibiti linalounganisha Singida na Simiyu na kuhutubia mamia ya Wananchi katika Mikutano ya hadhara Iramba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye kijiji cha Nkungi, Wilaya humo, Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana...
10 years ago
Bongo513 Nov
(18+): Kumbe Kim Kardashian alionesha hadi ‘nanihii’ yake kwenye jarida la Paper (Picha)
9 years ago
MichuziJEMBE FM MWANZA YAFUNGUA MILANGO KWA VYAMA VYA SIASA KUTANGAZA MIKUTANO LIVE.
Zoezi hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!! Sasa ili upate kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua milango kwa kutoa huduma ya matangazo ya...
10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog27 May
Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini
Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama, katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.
Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
RC Singida ahimiza wananchi kuhudhuria mikutano ya siasa
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.K ulia ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida,M ary Chitanda na anayefuatia ni mwenyekiti CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewahimiza wananchi...
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Chadema yajiimarisha yaendesha mikutano ya mafunzo Singida
Mkurugenzi wa organization na mafunzo CHADEMA Taifa, Benson Kigaila, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye uwanja wa Peoples mjini Singida ukiwa na lengo na kuzindua mafunzo yanayoendelea kutolewa nchini kote na chama hicho, kujiimarisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.
Baadhi ya wanaCHADEMA na wananchi wa mji wa Singida, waliophudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya kumsikiliza mkurugenzi wa organization na mafunzo wa...