Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIHANNA AAIBISHWA NA BOYFRIEND WAKE MPYA

Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna. New York, Marekani NYOTA wa muziki wa Pop, Rihanna hivi karibuni alijikuta akiaibika mbele ya mashabiki wake baada ya kuvuja kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha mpenzi wake mpya, Travis Scott akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine. Katika kipande hicho cha video, Scott alionekana akiwa nyuma ya gari akijidunga dawa hizo huku akiongea… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili

Mwimbaji Shakira na boyfriend wake mcheza mpira Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili. Mwimbaji huyo wa Colombia amethibitisha habari hizo kupitia jarida la ‘Cosmopolitan Magazine’ Spanish version. Ni karibia miaka miwili sasa toka Shakira na Piqué wapate mtoto wa kwanza aitwaye Milan, aliyezaliwa January 22, 2013.

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian asema hakumpiga chini boyfriend wake James Harden, bado ni wapenzi

Baada ya Khloe Kardashian kukanusha kuwa hajarudiana na Lamar Odom licha ya kusitisha kesi ya kudai talaka, mdogo huyo wa Kim K amesema kuwa hajaachana na boyfriend wake ambaye ni mchezaji wa NBA, James Hardens kama ilivyoripotiwa. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la PEOPLE, alifafanua kwa kusema amekuwa muelewa sana katika kipindi hiki anachomuuguza mumewe […]

 

11 years ago

Bongo5

‘Iggy Azalea aliumizwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET’ asema boyfriend wake

Pamoja na rapper mwenye asili ya Australia, Iggy Azalea kudai kuwa hakusumbuliwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET mwishoni mwa mwezi uliopita, mpenzi wake Nick Young anayecheza kikapu na timu ya Los Angeles Lakers, ameliambia New York Daily News kuwa kauli ya Nicki na maneno ya watu mtandaoni, vilimuumiza ‘demu’ wake huyo. […]

 

10 years ago

Bongo5

Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu

Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa. Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha […]

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio njia aliyotumia Khole Kardashian kumpiga chini boyfriend wake baada ya kurudiana na mumewe!

Baada ya mdogo wake Kim K, Khole Kardashian kurudisha uhusiano wake na mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, Khloe alilazimika kumpiga chini aliyekuwa boyfriend wake mpya. Kupigwa chini na mpenzi inamua (kama umeshawahi kuwa kwenye nafasi hiyo utakuwa unafahamu), lakini kupigwa chini kwa style aliyotumia Khloe ndio inaweza kuwa inauma zaidi. Baada ya Star […]

 

9 years ago

Global Publishers

Rihanna Awatega Mashabiki Wake

rihanna-room-5Rihanna

DIVA wa muziki wa Pop, Rihanna ameendeleza kuwatega mashabiki wake kwa kushirikiana na Kampuni ya Sumsung baada ya kuachia vipande vingine vya video alivyoviita ANTIdiaRY ambapo ameachia chumba namba tano.

Katika chumba hicho cha tano, Rihanna anaoenekana akiwa ndani ya jakuzi akioga kisha anainamisha kichwa chini na kuinuka na baada ya hapo kupitia mlango wa vioo wa bafuni hapo anaonekana mtoto mwenye taji kichwani aliyetumika katika albamu mpya.

Rihanna aliamua kufanya hivyo kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rihanna akubali kuigiza katika filamu mpya

Mwelekezi wa filamu kutoka Ufaransa Luc Besson amefichua kwamba mwanamuziki mashuhuri duniani Rihanna ataigiza kwenye filamu yake ijayo.

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna kuigiza kwenye filamu mpya ‘Valerian’

Director atakayeiongoza filamu mpya iitwayo ‘Valerian’, Luc Besson ametangaza rasmi kuwa mwimbaji maarufu Rihanna ataigiza kwenye filamu hiyo na atakuwa na nafasi kubwa. Kupitia Instagram Luc aliandika, “RIHANNA is in VALERIAN!!!!! ….and she has a big part!! I’m Sooo excited!!!”. Filamu hiyo ambayo itakuwa na bajeti kubwa itaanza kushootiwa mwezi January, 2016 huko Ufaransa, huku […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani