RIHANNA AKIWA AMETUPIA KITU CHA KIAFRIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mLmv81Pp9is/VLiBEd3RqbI/AAAAAAADVmI/ZXfGyF8xFSY/s72-c/rihanna-african-print-dress.jpg)
Fundi wa nguo hii ni Stella Jean ikiwa imeshonwa kwa kitambaa cha kiafrika na nguo hii inauzwa kwa bei ya Dollar 1,069 lakini sasa hipo kwenye sale ya 40% off unaweza kupata kwa Dollar 641. Habari ndiyo hiyo ukiweza jipinde na wewe maana ndiyo kipindi cha tax hiki ukipata tu jibullet bullets na kitu lichovaa Rihanna kiroho safi.
Stella Jean draws inspiration from vibrant African wax prints to create this multicoloured Barbara dress. It’s cut to a flattering, 1950s-style silhouette, with...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YipF6-mI-kW693E8QnZkNVkPK*tQNsN1jhqriBPVQ4VEUQ7F6DjHLwXkMk0aeEWOOiaFje*mc50Otac*e7kSIuQ/Rihanna3.jpg?width=533)
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kupata chakula cha Kiafrika Uingereza
10 years ago
CloudsFM06 Mar
Tamasha la chakula cha kiafrika kufanyika Jumapili hii jijini Arusha.
Tamasha la Chakula cha Kiafrika linatarajiwa kufanyika Jumapili hii jijini Arusha kwenye mgahawa wa Umbrella(Umbrella Garden and restaurant).
Akizungumzia tamasha hilo,Elihuruma Msengi alisema kuwa leo la kufanya tamasha la chakula cha Afrika ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa lishe na chakula cha kiafrika kwani magonjwa mengi yanatokana na vyakula vya viwandani na pia kudumisha upendo na amani kwa wananchi wa jiji la Arusha. Aidha ameongeza kuwa siku hiyo ya Jumapili itakuwa ni siku ya...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6VyXZMjo6hGB6K1YcLst-F*ceJSpmbY*LNeNWm03oEIJniqikY-mjE7sBjb-arv279mCH7KSjvYC*NvxPoKO02/tayson.jpg)
KIFO CHA TYSON, KUNA KITU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNWfc-L7b8PoiL56Iw54PYyxYXoLrr1j0Di*r5cpYgsnbKUbn*M7mZfegDMUbFRrAw8wgApa-dPQ5FXP97eojX2k/MAMAWEMA.jpg)
DIAMOND, KUNA KITU CHA KUJIFUNZA!
11 years ago
Michuzi11 Apr
9 years ago
Bongo522 Dec
Mwana FA: Msanii kutoa album ni kitu cha lazima
![mwana Fa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/mwana-Fa-300x194.jpg)
Mwana FA ni miongoni mwa wasanii wa kitambo ambao hadi sasa wanaendelea kufanya muziki, tena kwa upande wake ameanza kufanya kwa level za kuelekea kimataifa.
FA ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Asanteni Kwa Kuja’, wimbo ambao video yake imefanyika Afrika Kusini, ametoa msimamo wake kuhusu umuhimu wa album kwa msanii.
“Kufanyika albam ni lazima lakini tuje na idea ni jinsi gani tutauza, tunaweza kuifanya hii kazi ya distribution wenyewe, au tunaweza kuwafikia wale watu ambao wahindi...
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Kila kitu kijijini humu ni cha Obama: Wapi ?