Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rihanna Aachia Kipande Kingine cha Antdiary: Room 7

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com. Riri yuko kwenye matayarisho ya album yake mpya iatakayokuwa ya nane ambayo itakuwa inafuata baada ya “Unapologetic” aliyoitoa 2012.

 

11 years ago

Habarileo

Chama kingine cha siasa chasajiliwa

CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), jana kilikabidhiwa cheti cha usajili wa kudumu na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kituo kingine cha polisi chavamiwa

Kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamevamia na kuvunja stoo ya Kituo kidogo cha Polisi Mngeta, Kilombero na kuiba bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30.

 

10 years ago

Mwananchi

Kihunzi kingine cha Katiba inayopendekezwa

Katiba inayopendekezwa itakutana na kihunzi kingine katika utekelezwaji wake kutokana na Zanzibar kutakiwa kubadili Katiba yake, zikiwamo ibara zilizobeba msingi wa mabadiliko ya 10 katika Katiba ya Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Statoil yagundua kisima kingine cha gesi asili

Kampuni ya Statoil ikishirikiana na Exxon Mobil, imetangaza kugundulika kwa gesi asilia katika eneo jipya la Giligiliani-1 katika ukanda wa Bahari ya Hindi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiasi kingine kikubwa cha gesi chagunduliwa nchini

Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi nchini Tanzania.

 

9 years ago

Dewji Blog

ACT wafanikiwa kuchukua kiti kingine cha Udiwani Kagera!

1

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Chama cha ACT upitia mtandao wake wa Twitter wametaarifu kuwa chama hicho kimefanikiwa kutwaa nafasi ya kiti cha Udiwani kupitia Kata ya Kagera, iliyopo katika mji wa Kigoma Ujiji, Mkoani Kigoma. Kupitia kwenye akaunti yao hiyo ya chama hicho ya ACTwazalendo (Taifa kwanza) wameandika: #Uchaguzi uliofanyika Leo kata ya Kagera @ACTwazalendo tumeshinda kwa kishindo kikubwa tunawashukuru sana kwa kutuamini na kutupatia Diwani.” ulisomeka ujumbe...

 

10 years ago

Vijimambo

KIPAJI KINGINE CHA MAGUFULI NA UCHAPAKAZI WAKE HIKI HAPA


Wanamichezo wamekuwa wakijiuliza kama mgombea wa urais wa CCM, John Pombe Magufuli ni mpenda michezo.Ingawa wapo wanaoamini ni mpenda michezo, lakini inaonekana wazi kuwa anapenda sanaa.Kipaji cha sanaa ambacho amekuwa hakionyesha mara kwa mara ni upigaji wa ngoma ambazo ikitokea ameona watu wanazitandika, amekuwa hajivungi kama picha hii inavyoonyesha.Magufuli ndiye mgombea wa urais kupitia CCM baada ya kuwashinda wagombea wengine 37 walioonyesha nia.CCM kupitia mwenyekiti wake, Jakaya...

 

10 years ago

Michuzi

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho
 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani