Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rihanna kujiunga na Puma

Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna anajiandaa kuanza kufanya kazi katika kampuni ya michezo Puma.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rihanna aajiriwa na kamapuni ya Puma

Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna anajiandaa kuanza kufanya kazi katika kampuni ya michezo Puma.

 

9 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

11 years ago

GPL

UZI MPYA WA PUMA ARSENAL

Rangi ya Bluu: Jezi mpya ya mechi za ugenini itakayotumika msimu 2014/15 Arsenal. Jezi ya mechi za nyumbani msimu ujao…

 

10 years ago

Dewji Blog

Puma and DHL Express Tanzania announce retail partnership

1-IMG_1540

Mr. Philippe Corsaletti (left) Managing Director of Puma Energy in Tanzania with Mr. Maurice Effombo (right) Country Manager DHL Express Tanzania during the signing of a retail partnership in a bid to provide customers with better access to global express services.

1-IMG_1595

Mr. Philippe Corsaletti(left) Managing Director of Puma Energy in Tanzania with Mr. Maurice Effombo (right) Country Manager DHL Express Tanzania  addressing the media during the signing of a retail partnership in a bid to...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa maabara waleta kizaazaa kwa uongozi mpya Puma

DSC03554

Diwani kata ya Puma wilaya ya Ikungi (CCM) Ramadhani Kulungu, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya kusomwa kwa taarifa ya mapato na matumizi ya michango ya ujenzi wa maabara.

Na Nathaniel Limu, Puma

MWENYEKITI  mpya wa serikali ya kijiji cha Puma tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kupitia CCM,Sifa Joramu Hema, alipata wakati mgumu na hivyo kushindwa kuongoza mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya yeye na wajumbe wake,kutambulishwa kwa wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO

  Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.  Picha namba moja ni  Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YAMKABIDHI SILIMA MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo,...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR

Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache. Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani