Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti: Kipato cha Mtanzania kinazidi kuimarika

Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) inaonyesha kuwa kuna maendeleo makubwa ya kipato miongoni mwa Watanzania pamoja na kustawi kwa maisha katika mahitaji yao yasiyo ya kifedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TRA KUCHAMBUA RIPOTI YA KITUO CHA UTAFITI CHA KODI CHA KIMATAIFA (ICTD)

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, kushoto akiwa na afisa mtendaji mkuu wa kituo cha kimataifa cha kodi na maendeleo, Prof Mick Moore, wakiongoza majadiliano juu ya mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa kituo cha kimataifa cha kodi na maendeleo,mkutano uliofanyika jana jijini Arusha Wataalamu wa kimataifa  wa masuala ya kodi  wakiendesha mjadala katika mkutano wa mwaka wa kituo cha kimataifa cha utafiti wa masuala ya kodi,mkutano...

 

10 years ago

StarTV

Kipato cha wakulima, Serikali yapewa changamoto.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Serikali imeombwa kuangalia uwezekano wa kutopandisha kodi mwaka hadi mwaka kwa Kampuni zinazozalisha pombe ili kupunguza uagizaji wa malighafi za bidhaa hiyo kutoka nje ya Nchi na hivyo kuongeza kipato kwa wakulima wa ndani.

 

Kwa sasa wakulima wa ndani wa mazao yanayotumika kutengenezea bidhaa hiyo kama shayiri na mtama wameshindwa kunufaika na kampuni hizo kutokana na viwanda vya Bia nchini kununua mazao hayo kutoka nje ya nchi.

 

Licha ya Mtama na Ngano ama Shayiri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Takataka zaweza kuwa chanzo cha kipato

Uzalishaji wa takataka kwenye Miji na Majiji unakwenda sambamba na jitihada za kuzitunza?

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara, kilimo vyainua kipato cha wakazi wa Singida

Ukibahatika kuutembelea Mkoa wa Singida na kurejesha kumbukumbu zako miaka 10 nyuma unaweza usiamini yanayotokea hivi sasa kwenye mkoa huo. Unaweza kushangaa na kujiuliza maswali mengi jinsi mkoa huo unavyobadilika na kuvutia watu wengi sasa.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025

Na Greyson Mwase, Ujerumani

Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na  kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua  kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani  kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo  linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...

 

11 years ago

GPL

YATIMA KITUO CHA MWANDALIWA WAWEZESHWA KUANZISHA MRADI WA KUJIPATIA KIPATO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwasili katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo Bunju, jijini Dar es salaam. Vodocom ilitemebela kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom Foundation kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondeshwa na kituo hicho. Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Jamii…

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA EQUITY KUTOA MIKOPO YA MAJI KWA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI

Mkuu wa Mahusiano ya Biashara wa Benki ya Equity, Eric Shao (katikati) akimkabidhi hati za makubaliano Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Kashilimu Mayunga, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mzunguko wa Makole (Round About) na kuanzisha rasmi utaratibu wa kuwakopesha wananchi wanaohitaji huduma ya Maunganisho mapya ya Maji safi na Maji taka. Hafla hiyo ilifanyika katika mzunguko huo wa Makole jijini Dododma leo. Kulia ni Naibu Meya wa jiji...

 

10 years ago

Bongo5

Ne-Yo akikubali kipaji cha uchoraji cha Mtanzania huyu, aipost picha yake kwenye Instagram

Chrissy Renny ni kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida – anachora picha kwa kutumia kalamu ya wino ambayo ukiilinganisha na picha original, unaweza kudhani aliyochora ni photocopy. Picha ya Ne-Yo iliyochorwa kwa mkono kutumia kalamu ya wino Cha kufurahisha zaidi, Chrissy ni Mtanzania na sasa jina lake limefika Marekani – thanks kwa shavu alilopewa na […]

 

5 years ago

Michuzi

GENERAL PETROLEM (GP) YATOA MSAADA WA VYAKULA KUWASAIDIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI TEMEKE


Katibu Tarafa ya Mbagala Bertha Minga(katikati) ambaye amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Felix Lihaniva akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya General Petroleum (GP) Zafar Khan(kulia) pamoja na ofisa mwingine wa kampuni hiyo.Msaada huo wa vyakula unakwenda kutolewa kwa wananchi wenye kipato cha chini ndani ya Wilaya hiyo.
Bertha Minga ambaye ni Katibu Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam(kushoto) akiwa na Meneja Mauzo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani