Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti: Wawindaji halali ndiyo wanaovuna tembo

>Ongezeko la kasi ya ujangili nchini limedaiwa kusababishwa na vitendo vya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na mfumo dhaifu wa usimamizi wa sheria katika Wizara ya Maliasili na Utalii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ripoti: Tanzania kinara biashara meno ya tembo

Kwa hali ilivyo sasa, inatabiriwa kuwa baada ya miaka saba, kama jitihada hazitafanyika, tembo watatoweka katika ardhi ya Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti yaibua mapya ujangili meno ya tembo

Wiki moja baada ya Shirika la Mazingira (Eia) la Uingereza kutoa ripoti kuwa msafara wa Rais Xi Jinping wa China ulihusika na utoroshwaji wa meno ya tembo nchini, imeelezwa kuwa ripoti hiyo ilikabidhiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, uongozi wa misitu wa China pamoja na polisi wa nchi zote mbili kabla ya kuichapisha, lakini haikufanyiwa kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

DC awashukia wanaovuna mazao ya misitu Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu ametangaza vita dhidi ya wavunaji haramu wa mazao ya misitu baada ya kuanza kutumika kwa taratibu mpya.

 

10 years ago

GPL

RIPOTI YA ESCROW, LEO NDIYO LEO

Wajumbe wa kamati wakiioitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo bungeni.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wawindaji wapigwa risasi Selous

Watu wawili wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupigwa risasi na askari wa wanyamapori wa Pori la Akiba la Selous.

 

10 years ago

BBCSwahili

DRC yachunguza mauaji ya wawindaji 4

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ,imeanzisha uchunguzi kufuatia vifo vya wawindaji 4 katika eneo la Bandundu takriban kilometa 270 na mji mkuu Kinshasa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wawindaji kutoka Qatar watekwa nyara Iraq

Watu wenye silaha wamewateka nyara wawindani 27 kutoka Qatar, miongoni mwao watu wa familia ya kifalme.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani