Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti:Uharamia unaweza kupungua Somalia

Utafiti unabainisha huenda uharamia ukapungua iwapo wazee wa koo za kisomali watapewa njia mbadala za kujikimu kimaisha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Uharamia umetokomezwa Somalia?

Uharamia katika pwani ya Somalia na kwingineko duniani umepungua kwa asilimia 40 katika miaka sita iliyopita.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uharamia bado tishio Somalia

Meja General Martin Smith Mkuu wa Operesheni ya uharamia katika eneo la Bahari ya Hindi amesema uharamia bado tishio somalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uharamia wapungua duniani

Halmashauri ya safari za baharini imetoa ripoti yake ikisema kuwa uharamia sasa unaripotiwa kusini mashariki mwa bara Asia

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uharamia wa kidemokrasia haukubadiliki

KUNAPOKUWA na viongozi wasiowajibika kwa waliowachagua, tegemea kuwa wananchi wanapowauliza maswali yenye kutaka kujua wanachokifanya kwa ajili yao; huwa au hugeuka mbogo. Hii inajitokeza wakati kauli ya Rais Jakaya Kikwete...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Nchi za Afrika ziungane kudhibiti uharamia’

 Ili kukabiliana na vitendo vya uharamia kwenye wa Bahari ya Hindi, nchi za Afrika zimetakiwa kuweka nguvu katika ushirikiano, kwa kuwa si rahisi nchi moja kudhitibi uhalifu huo unaofanya na watu wanaodaiwa kuwa ni raia wa Somalia.

 

9 years ago

Bongo Movies

Hatuwezi Kuzuia Uharamia wa Kazi za Wasanii- Ernest

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo hivyo kila mtu...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA UJERUMANI ZAJADILIANA UHARAMIA DHIDI YA WANYAMAPORI

"Karibu" ndiyo anavyosema Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wakati akimkaribisha mgeni wake Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Ujerumani katika Umoja wa Mataifa Balozi Harld Braun alipofika kwa mazungumzo katika Uwakilishi wa Tanzania siku ya jumatatu Januari 12, 2015.Wawakilishi hao wawili walizungumzia masuala mbalimbali yenye maslani kwa mataifa hayo mawili, na moja ya masuala hayo ni namna gani Tanzania na...

 

9 years ago

Mtanzania

Ernest Napoleon: Hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii

Ernest Napoleon Going BongoNA FESTO POLEA

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUTHIBITI UHARAMIA MITANDAONI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  John Mngodo, akitoa ufafanuzi kwa wanahabari (hawapo pichani). Wadau na wanahabari mbalimbali wakisikiliza maelezo kutoka kwa wataalam wa wizara.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani