Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NA UJERUMANI ZAJADILIANA UHARAMIA DHIDI YA WANYAMAPORI

"Karibu" ndiyo anavyosema Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wakati akimkaribisha mgeni wake Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Ujerumani katika Umoja wa Mataifa Balozi Harld Braun alipofika kwa mazungumzo katika Uwakilishi wa Tanzania siku ya jumatatu Januari 12, 2015.Wawakilishi hao wawili walizungumzia masuala mbalimbali yenye maslani kwa mataifa hayo mawili, na moja ya masuala hayo ni namna gani Tanzania na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani na mikakati dhidi ya Ebola

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anasema nguvu kubwa inahitajika kutokomeza Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni Argentina dhidi ya Ujerumani Fainali

Argentina imefuzu kwa fainali ya kombe la dunia baada ya kuilaza Uholanzi 4-2 kwa penalti.

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari: tutajitahidi dhidi ya Ujerumani

FIFA imekatalia mbali ombi la Brazil la kufutilia mbali marufuku ya Thiago Silva.

 

10 years ago

BBCSwahili

Udukuzi wa Marekani dhidi ya Ujerumani

Ujerumani imeashiria kuwa Marekani imewafanyia udukuzi viongozi wake zaidi ya ilivyodhaniwa hapo awali

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge Ujerumani kupigia kura operesheni dhidi ya IS

Bunge nchini Ujerumani leo litapiga kura kuamua iwapo taifa hilo litasaidia katika mashambulio dhidi ya wanamgambo wa Islamic State nchini Syria.

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Wanyamapori Tanzania wabuni miradi ya maendeleo

Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Bw. John Muya akiwaeleza waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Mfuko huo katika Kupambana na Ujangili katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Bw. John Muya akitoa wito kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kushiriki katika mapambano dhidi ya ujangili ili kulinda rasilimali za Taifa ambazo ziko hatarini Kutoweka,Kulia kwake ni Afisa Habari wa Idara ya Habari...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA UHIFADHI WANYAMAPORI

Ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) katika mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudia Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud ambaye pia ni Rais wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem Meru; Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari; Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli; Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani