Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatuwezi Kuzuia Uharamia wa Kazi za Wasanii- Ernest

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo hivyo kila mtu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ernest Napoleon: Hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii

Ernest Napoleon Going BongoNA FESTO POLEA

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo...

 

10 years ago

Michuzi

hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii

Othman Khamis Ame, OMPR -  ZNZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atakiwa kuzuia baa wakati wa kazi

WAKAZI wa Jiji la Arusha wamemtaka Rais Mteule, Dk John Magufuli kuhakikisha anasimamia utekelezaji na uwajibikaji kwa kila Mtanzania na kupiga vita baa na vijiwe vya kahawa kufunguliwa wakati wa kazi.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA KESI YA KUZUIA POLISI KUFANYA KAZI INAYOMKABILI MKURUGENZI JAMII FORUMS

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mara nyingine tena imeshindwa kusoma hukumu ya kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo na mwenzake Micke William kwa sababu Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo leo amepata udhuru.
Kwa mara ya kwanza kesi hiyo ilipangwa kutolewa hukumu Novemba 26, mwaka 2019 lakini iliahirishwa kutokana na Hakimu kutomaliza kuandaa hukumu na kupanga...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA KAZI WA KIMATAIFA NA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kinemo Kihonamo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA KAZI WA KIMATAIFA NA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kinemo Kihonamo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

TRA KUPAMBANA NA WIZI WA KAZI ZA WASANII

 Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wale wote watakaogundulika kwa wizi wa kazi za sanaa.
Agizo hilo limetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari na kueleza kuwa wapo katika operesheni ya kukamata wezi wa kazi za sanaa .
"Ipo  kamati ambayo inajumuisha wadau kama Bodi ya Filamu, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na COSOTA ikishirikiana na Jeshi la Polisi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani