Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RITA kuandikisha vyeti sekondari

KATIKA kuongeza idadi ya Watanzania wenye vyeti vya kuzaliwa, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), inatarajia kuanza kuandikisha wanafunzi wa shule za sekondari katika Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

RITA yatoa vyeti kwa shule 105 Ilala

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya zoezi maalumu la usajili na kutoa vyeti katika shule za msingi 105 za Manispaa ya Ilala. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana...

 

10 years ago

Michuzi

ANDIKISHENI WATOTO WAWEZE KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - RITA

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. WAKALA wa usajili ufilisi na udhamini(RITA) wamewataka wazazi na walezi wanaosoma shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni wawaandikishe watoto wao ili waweze kupata vyeti vyao vya kuzaliwa.

Hayo yamesemwa na Meneja masoko Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA Josephat Kimaro  wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.

Kimaro amesema kuwa wananchi wajue umhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani Cheti cha...

 

10 years ago

GPL

RITA YAWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WANAFUNZI 15,120 ILALA

Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA, Josephat Kimaro, akijibu maswali ya waandishi (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini.…

 

10 years ago

Mwananchi

Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi

Wakala wa Usajili na ufilisi na Udhamini(RITA) imezindua  mkakati wa usajili na kutoa vyeti kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya Kinondoni mashuleni lengo likiwa ni kusogeza huduma karibu kwa watanzania

 

5 years ago

CCM Blog

RITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO

Na Muhadh Mohammed, Songea Ruvuma.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.

Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...

 

10 years ago

Michuzi

RITA YAFANIKIWA KUSAJILI WANAFUNZI ELFU 15 NA KUWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA MANISPAA YA ILALA.

Na Fatma Salum- MaelezoJumla ya wanafunzi 15,120 wa shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameweza kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kupitia Mkakati wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa unaotekelezwa na Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA). Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

RITA wazindua mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilaya ya Kinondoni

Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi katika Wilaya ya Kinondoni,Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mkakati huo,akishirikiana na Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan,Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Mh. Yussuf Mwenda,Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA),Phillip Saliboko pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) yasajili na kutoa vyeti 5,081 kwa shule zote za wilaya ya Kinondoni jijini Dar

Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling’ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro.

Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) YASAJILI NA KUTOA VYETI 5,081 KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM



 Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling'ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro. Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani