Riwaya ya athari za mihadarati G Bissau
Je kifo cha babake Buba kitamchochea kujiunga na kituo cha kurekebishia tabia ? Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari zake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 May
Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {1}
Ni ripoti ya kibinafsi ya kijana mmoja wa kiafrika aliyejipata katika ulanguzi wa mihadarati wa kimataifa.
10 years ago
BBCSwahili21 May
Jinamizi la mihadarati G Bissau makala ya(4)
Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba.Ameuza teksi yake.Babake naye amemtimua nyumbani kwake
10 years ago
BBCSwahili20 May
Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {3}
Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba ambaye ameanza kufuja mali yake na kuwa mteja
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Riwaya ya Kiswahili
Maelezo mengi yametolewa kuhusu riwaya ya Kiswahili lakini yafaa nieleze kwa mtiririko wa kimantiki kuhusu maana, asili na chimbuko la riwaya ya Kiswahili.
10 years ago
Vijimambo26 Sep
RIWAYA ZA ABUNUWASI
Kuna wakati, Abunuwasi aliamua kuwa mfuga mbuzi. Alinunua mbuzi wa kufuga huku akiwa na lengo la kujiongezea kipato chake pindi mbuzi huyo atapoanza kuzaa, ili awafuge ndama wawe wengi na kumuwezesha kuwa tajiri kuliko wote waliokuwepo katika mji ule..
Siku moja Abunuwasi akipokuwa anampeleka mbuzi wake malishoni, alikuta kiatu kimoja kizuri sana katikati ya njia. Alisimama na kukiangalia. Kiatu kilipendeza machoni mwake ila akasema "kiatu hiki ni kizuri lakini mbona kipo kimoja tu?"...
Siku moja Abunuwasi akipokuwa anampeleka mbuzi wake malishoni, alikuta kiatu kimoja kizuri sana katikati ya njia. Alisimama na kukiangalia. Kiatu kilipendeza machoni mwake ila akasema "kiatu hiki ni kizuri lakini mbona kipo kimoja tu?"...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nh5yusnPYQ8/VmSnyTiS9HI/AAAAAAAIKiU/7CsRxD2lT4s/s72-c/2a237b9c-dc1c-4391-8635-a8b845c2dcf5.jpg)
MTUNZI MAHIRI NA MKONGWE WA RIWAYA SAM KITOGO AIBUKA NA 'OPERESHENI KIGALI'
![](http://3.bp.blogspot.com/-nh5yusnPYQ8/VmSnyTiS9HI/AAAAAAAIKiU/7CsRxD2lT4s/s640/2a237b9c-dc1c-4391-8635-a8b845c2dcf5.jpg)
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia
Huzuni ya kumba tasnia ya uandishi na habari Afrika Mashariki
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-998-TAmQO38/U_AhM6tuvRI/AAAAAAAGAHI/NpT80uklLVE/s72-c/Chase_writer.jpg)
mjue James Hadley Chase, mwandishi wa riwaya za kusisimua aliyefanya wengi wapende kusoma vitabu
Na Sultani Kipingo
Wengi tumesoma vitabu vya James Hadley Chase, mwandishi wa riwaya za kusisimua maarufu sana wa Uingereza, hasa wakati tukipambana na kujua lugha ya Kiingereza wakati wa shule kidato cha kwanza hadi cha nne, na hata high school.Nadhani kwa hili hata Profesa Mbele ataniunga mkono ninaposema kuwa utamaduni wa kupenda kusoma huanzia kwenye kuwepo kwa vitabu vya kusisimua kama vya Chase. Na wengi tuliua ndege wawili kwa jiwe moja – yaani kupenda kusoma na pia kujifunza...
![](http://3.bp.blogspot.com/-998-TAmQO38/U_AhM6tuvRI/AAAAAAAGAHI/NpT80uklLVE/s1600/Chase_writer.jpg)
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74205000/jpg/_74205702_74205697.jpg)
Guinea-Bissau goes to the polls
Guinea-Bissau prepares to vote in presidential and parliamentary elections, amid hope that stability can be restored to the west African country.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania