RIWAYA ZA ABUNUWASI
Kuna wakati, Abunuwasi aliamua kuwa mfuga mbuzi. Alinunua mbuzi wa kufuga huku akiwa na lengo la kujiongezea kipato chake pindi mbuzi huyo atapoanza kuzaa, ili awafuge ndama wawe wengi na kumuwezesha kuwa tajiri kuliko wote waliokuwepo katika mji ule..
Siku moja Abunuwasi akipokuwa anampeleka mbuzi wake malishoni, alikuta kiatu kimoja kizuri sana katikati ya njia. Alisimama na kukiangalia. Kiatu kilipendeza machoni mwake ila akasema "kiatu hiki ni kizuri lakini mbona kipo kimoja tu?"...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Oct
ABUNUWASI NA HUKUMU YA KIJANA
Hapo zamani za kale katika nchi moja Afrika, paliishi mama mmoja ambaye alikuwa mjane. Muda mfupi tu kabla ya mumewe kufariki walijaliwa mtoto mmoja wa kiume ambaye huyo mama alimlea kwa shida na taabu nyingi. Hata hivyo mama na mtoto wake walipendana ipasavyo. Hapo katika kijiji chao kulikuwa pia na tajiri mmoja ambaye alikuwa bahili na katili kweli. Yule kijana maskini alikwenda kwa tajiri kuomba kazi. Tajiri alimwambia kwamba alikuwa na kazi kwake na angemlipa vizuri sana.
Kijana...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Riwaya ya Kiswahili
10 years ago
BBCSwahili22 May
Riwaya ya athari za mihadarati G Bissau
9 years ago
MichuziMTUNZI MAHIRI NA MKONGWE WA RIWAYA SAM KITOGO AIBUKA NA 'OPERESHENI KIGALI'
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia
10 years ago
Michuzimjue James Hadley Chase, mwandishi wa riwaya za kusisimua aliyefanya wengi wapende kusoma vitabu
Wengi tumesoma vitabu vya James Hadley Chase, mwandishi wa riwaya za kusisimua maarufu sana wa Uingereza, hasa wakati tukipambana na kujua lugha ya Kiingereza wakati wa shule kidato cha kwanza hadi cha nne, na hata high school.Nadhani kwa hili hata Profesa Mbele ataniunga mkono ninaposema kuwa utamaduni wa kupenda kusoma huanzia kwenye kuwepo kwa vitabu vya kusisimua kama vya Chase. Na wengi tuliua ndege wawili kwa jiwe moja – yaani kupenda kusoma na pia kujifunza...