R.Madrid yashinda ubingwa wa ulaya
Timu ya Real Madrid imewacharaza mahasimu wao wa jadi katika ligi ya uhispania Atletico Madrid mabao 4 kwa moja katika fainal.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone.
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone.
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...
11 years ago
MichuziAtlético Madrid yampoka Barcelona Ubingwa wa Spain
Wachezaji wa Atlético Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Barcelona jana. Baada ya kuisambaratisha Real Madrid katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu na kunyakua kombe la Copa del Rey (Kombe la Mfalme) mwaka uliopita, Atlético Madrid jana wamefanya maajabu mengine baada ya kunyakua ubingwa wa La Liga mkononi mwa Barcelona ya kina Messi kwa kutoka nao droo ya 1-1.
Ni ubingwa wao wa kwanza katika miaka 18. Kifuatacho ni kucheza fainali za mabingwa wa Ulaya baada ya miaka 40! Mambo...
10 years ago
GPLBONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA
Bintou Schmill a.k.a 'The Voice' baada ya kumchapa Mirjana Vujic kwa K.O. Bintou akizichapa na…
10 years ago
MichuziBONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA
Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unaotambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV channel ya euro sport na kutazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radi.
Bintou Schmill (30) aka The Voice...
Bintou Schmill (30) aka The Voice...
11 years ago
GPLKOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA LEO
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha. Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008. ...
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Real Madrid kidedea klabu Bingwa Ulaya.
Michuano ya klabu Bingwa ulaya imeendelea kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya makundi kuelekea hatua ya 16 bora.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Real Madrid walivyopigana kishujaa kubeba taji la 10 Ulaya
UKUBWA Dawa. Inaaminika hivyo na ukweli utabaki hivyo daima, ingawa mara nyingine ukubwa huwa si dawa wala kikwazo kwa asiye na sifa hiyo (ya ukubwa) kufanya yake. Maswali mengi kuhusu...
11 years ago
GPLATLETICO MADRID YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Diego Costa (kushoto) akishangilia na Koke baada ya kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti. Fernando Torres (kulia) na Samuel Eto'o wakiwa hawaamini kilichowasibu. Kushoto ni Ramires.…
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Ligi ya Mabingwa Ulaya: Real Madrid yanusa robo fainali
Mechi za kwanza za marudiano katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2014/15 kuamua timu nane zitakazoingia robo fainali zitachezwa kesho na keshokutwa huku mechi nyingine zikimaliziwa wiki ijayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania