Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Roboti kuchukua kazi za raia Australia

Takriban asilimia 40 ya kazi nchini Australia ambazo zipo kwa sasa huenda zikapotea katika kipindi cha kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Roboti kuchukua kazi za raia Uingereza

Zaidi ya thuluthi moja ya ajira nchini Uingereza ziko katika hatari ya kuchukuliwa na roboti katika kipindi cha miaka 20 ijayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia yaomba Japan kutowaua raia wake

Australia imemuandikia rais wa Indonesia ikimuomba awasamehe raia wa Australia walipatikana na hatia ya kuendesha biashara ya madawa ya kulevya

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanyama wafukuzisha kazi watu Australia

Watu 10 wafukuzwa kazi kwa kosa la kutumia wanyama hai, kutoa mafunzo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yamtimua kazi Benitez, Zidane kuchukua nafasi yake

Real Madrid's new French coach Zinedine Zidane (L) is congratulated by Real Madrid's president Florentino Perez after a statement at the Santiago Bernabeu stadium in Madrid on January 4, 2016. Rafael Benitez's unhappy reign in charge of Real Madrid came to an end after just seven months and 25 games when he was sacked and replaced by club legend Zinedine Zidane today.   AFP PHOTO/ GERARD JULIENGERARD JULIEN/AFP/Getty Images

Rais wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Florentino Perez akimpongeza Zinedine Zidane baada ya kumtangaza rasmi kocha mpya wa timu ya Real Madrid.(Picha na AFP).

Rafa-Benitez-700

Rafa Benitez.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia jumanne imetoa taarifa ya kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Rafa Benitez.

Hatua ya Real Madrid kumtikua kazi Benitez imekuja baada ya kupata matokeo ya sare ya goli 2 kwa 2 dhidi ya Valencia hali iliyopelekea uongozi wa klabu...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYA KAZI WA SALUNI WAASWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA CORONA


Kinyozi katika eneo la Mgeninani Kijichi Jijini Dar es Salaam akiwa amevaa Barakoa kama sehemu ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Mfanyabiashara katika Soko la Shangwe Kigamboni Jijini Dar es Salaam akiendelea kumhudumia mteja wake huku akiwa amevaa Barakoa ikiwa ni sehemu ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona



Mkazi wa eneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam akisafisha mikono yake kwa sabuni na maji safi yanayotiririka ikiwa ni sehemu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya Swansea kumfukuza kazi kocha, hawa ndiyo wanatajwa kuchukua nafasi

image

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Swansea ambayo jana jioni ilitoka taarifa kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Garry Monk (pichani) sababu ikiwa ni kuwa na matokeo wanayopata msimu huu kutowaridhisha viongozi na mashabiki wa timu hiyo.

Baada ya kufukuzwa kazi kwa Monk, tayari baadhi ya makocha wakihusishwa kuchukua nafasi ya Monk ambayo kwa sasa ipo wazi.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Express la Wingereza limeripoti kuwa, Kocha wa klabu ya Rangers ya Wingereza, Mark Warburton na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA WANAWAKE NA WATOTO MJINI CANBERRA NCHINI AUSTRALIA WAONYESHA NIA YA KUJA KUFANYA KAZI TANZANIA

sa1Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mama Elizabeth Chatham, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Caniberra nchini Australia inayotoa huduma ya Afya ya Mama, vijana na watoto mara baada ya kufika eneo la hospitali kwa madhumuni ya kujionea namna bora yautoaji huduma. Mama Salma yupo nchini Australia akifuatana na mumewe Rais Jakaya Kikwete kwenye ziara rasmi ya kiserikali nchni humo.sa2Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kipande cha Ndundu-Somanga kufanyiwa kazi kukwamua raia

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema Serikali inafanya jitihada za kutengeneza maeneo ya barabara ya kwenda mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara, ambayo yameharibika na kusababisha abiria kukwama njiani.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI: SERIKALI HAITAWAFUNGIA WANANCHI MAJUMBANI WALA KULIFUNGA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA SABABU YA CORONA, ASISITIZA WATU KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI HUKU WAKICHAPA KAZI

Rais Dk. Magufuli akizungumza leoKULU, Chato.
Rais Dk. John Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuwakumba wananchi na kuathiri uchumi wa nchi, na ametaka Watanzania kuondoa hofu, kuendelea kuchukua tahadhari huku wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali na ujenzi wa Taifa.

“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi, na sio kila anayepoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani