Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROMA KWA HILI UTALOSTI, JIANGALIE UPYA DOGO!

UGUMU wa maisha Bongo umewafanya watu wengine kujitoa ufahamu. Asubuhi na mapema, unamkuta kijana wa Kitanzania amekamata kinywaji chake aina ya kiroba anakunywa, anataka ashinde akiwa hana akili sawasawa, maana hajui jinsi siku yake itakavyoisha. Anapowaona viongozi wakikatisha ndani ya magari ya thamani kubwa, anasema ‘wenye nchi hao bwana, ndiyo wanakula maisha’. Akilini mwake anaamini kabisa kuwa kuna kundi f’lani dogo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JIDE, HEBU JIANGALIE UPYA!

MMOJA kati ya wasanii ninaowa-heshimu sana katika muziki wa kizazi kipya kutokana na uwezo wao, ni Judith Wambura Mbibo, mwenye majina mengi ya kisanii, lakini maarufu zaidi Lady Jaydee au Jide.
Ni bonge la msanii, anajua kuimba, anajua mashairi yanayogusa na anakwenda na wakati. Tokea alipojiingiza katika muziki huo zaidi ya miaka 13 iliyopita, siku zote amekuwa mtu anayepanda juu. Wamekuja wasanii wengi vijana wa kike,...

 

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

11 years ago

GPL

DOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE

Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

9 years ago

Bongo5

Viva Roma haijafungiwa, inabaniwa — Roma

Rapper Roma Mkatoliki amesema hajapokea taarifa yoyote ya kufungiwa kwa wimbo wake mpya ‘Viva Roma’ kama watu wanavyodai. Roma ameimbia Bongo5 kuwa licha ya wimbo huo kukataliwa kupigwa na baadhi ya vituo vya redio amepokea ofa nyingi za kulipiwa video ili kuufanya wimbo huo ufanye vizuri zaidi. “Kiukweli mimi kama artist nipo dilemma, kwa sababu […]

 

9 years ago

Bongo5

Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika; “WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini

roma-new-picRoma Mkatoli

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii  maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki  ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’,  tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.

Modewjiblog  iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp,  kwa kile kilichoelezwa na msanii...

 

9 years ago

Bongo5

BASATA waufungia rasmi wimbo wa Roma — ‘Viva Roma Viva’

Baraza la sanaa Tanzania, BASATA wameufungia rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva’. Hatua hiyo imezikumba na nyimbo nyingine pia zenye ujumbe kama uliopo kwenye wimbo huo. BASATA wamesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo. Baada ya taarifa za kufungiwa kwa […]

 

11 years ago

Bongo5

Ashley Cole atua AS Roma kwa mkataba wa miaka miwili

Hatamiye mchezaji wa zamani na beki wa timu ya taifa ya Uingereza pamoja na Chelsea, Ashley Cole 33,amejiunga rasmi na timu AS Roma na kukubali kutia saini ya mkataba wa miaka miwili na timu hiyo ambapo anatakuwa akipokea mshahara wa euro elfu 48,000 kwa wiki. Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma Kikosi hicho […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani