JIDE, HEBU JIANGALIE UPYA!
MMOJA kati ya wasanii ninaowa-heshimu sana katika muziki wa kizazi kipya kutokana na uwezo wao, ni Judith Wambura Mbibo, mwenye majina mengi ya kisanii, lakini maarufu zaidi Lady Jaydee au Jide. Ni bonge la msanii, anajua kuimba, anajua mashairi yanayogusa na anakwenda na wakati. Tokea alipojiingiza katika muziki huo zaidi ya miaka 13 iliyopita, siku zote amekuwa mtu anayepanda juu. Wamekuja wasanii wengi vijana wa kike,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLROMA KWA HILI UTALOSTI, JIANGALIE UPYA DOGO!
10 years ago
Vijimambo29 Sep
11 years ago
GPLKAJALA,WEMA HEBU NISIKILIZENI KIDOGO!
11 years ago
GPLDIMPOZ, HEBU ACHA ULIMBUKENI WA HELA
11 years ago
GPLSTEVE NYERERE, HEBU ACHANA NA ZILE ZA RAY
9 years ago
StarTV24 Aug
Je unajua Lowassa alichokifanya Leo?hebu tazama
Wakati ambapo wananchi wana kiu ya kufahamu Ukawa watafanya lini uzinduzi wa kampeni zao hasa kwa kuzingatia kuwa CCM imefanya uzinduzi wa kishindo jana katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameanza ziara ya kupanda usafiri wa umma (daladala). Lowassa ameanza ziara yake asubuhi hii ambapo anapanda katika usafiri huo wa umma kwa lengo la kuwafikia wananchi wa maisha ya chini kabisa ili awasikilize kwa ukaribu na kufahamu kero zao. Katika...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Hebu tudurusu ‘Ufisadi’ wa Lowassa na ‘Usafi’ wa Magufuli
NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyop
Jenerali Ulimwengu
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Wewe ni Shabiki wa Riyama? Hebu Pitia Hapa
Huyu ni moja kati ya waigizaji wa kike wanaokubalika zaidi kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zao, ni moja kati ya mastaa kutoka Bongo Movies ambao hawana skedo za AJABU AJABU,kiufupi ni moja kati ya wanaojielewa na kujiheshimu , hii inamfanya kuheshimika mbele ya jamii,huyu sio mwingine bali ni Riyama Ally.
Kwakua unamkubali na unapenda kazi zake mpigie kura kama mwigizaji anayependwa na filamu yake inayopendwa...Tuma neno TUZO kwenda 15678 utapokea ujumbe unaoainisha vipengele vyote vya tuzo...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
NATOA HOJA: Hebu anzeni kuwafuatilia Etoile du Sahel