DIMPOZ, HEBU ACHA ULIMBUKENI WA HELA
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cqhP6EX-0HAc6oZ9il-llWOTLWho419a*Y0Xfltw*fJrsKi2sdmfSeneuVTbxWMAg1vk4XHUZkrs1R93MAfCkqo/MAMAWEMA.jpg?width=650)
Staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo 'Ommy Dimpoz'. UNAPOTAKA kutaja majina ya vijana chipukizi, ambao sasa wanaogelea katika bahari ya ustaa, basi huwezi kuliweka mbali jina la Ommy Dimpoz, mkali wa vibao vikali vya Baadaye na Tupogo. Hizi ngoma mbili zimekimbiza sana na nadhani ndizo zinazompa shoo nyingi, ndani na nje ya nchi, ingawa pia hivi karibuni aliingiza mtaani kazi yake nyingine inayokwenda kwa jina la Ndagushima. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
Vijimambo29 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEK9SRJS5WOsHGvz-E1qWat8w0dwkVHwSHjniL5uUj0HS65HtIYfVmQAUFzzcD4X31Inrt7Pmftxd9Va8EDZQF1P/index.jpg?width=650)
JIDE, HEBU JIANGALIE UPYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q4Epy2fSOltdyGhYJD4P9xsjfuQodpElWY4GkWdkUdRpe0tFCT6W8fi12CFITv5F0GTiG4MoxnGHxPe6O899lhwhFEJw8jpV/BARUANZITO.jpg?width=650)
KAJALA,WEMA HEBU NISIKILIZENI KIDOGO!
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Wewe ni Shabiki wa Riyama? Hebu Pitia Hapa
Huyu ni moja kati ya waigizaji wa kike wanaokubalika zaidi kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zao, ni moja kati ya mastaa kutoka Bongo Movies ambao hawana skedo za AJABU AJABU,kiufupi ni moja kati ya wanaojielewa na kujiheshimu , hii inamfanya kuheshimika mbele ya jamii,huyu sio mwingine bali ni Riyama Ally.
Kwakua unamkubali na unapenda kazi zake mpigie kura kama mwigizaji anayependwa na filamu yake inayopendwa...Tuma neno TUZO kwenda 15678 utapokea ujumbe unaoainisha vipengele vyote vya tuzo...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Hebu tudurusu ‘Ufisadi’ wa Lowassa na ‘Usafi’ wa Magufuli
NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyop
Jenerali Ulimwengu
9 years ago
StarTV24 Aug
Je unajua Lowassa alichokifanya Leo?hebu tazama
Wakati ambapo wananchi wana kiu ya kufahamu Ukawa watafanya lini uzinduzi wa kampeni zao hasa kwa kuzingatia kuwa CCM imefanya uzinduzi wa kishindo jana katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam, mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameanza ziara ya kupanda usafiri wa umma (daladala). Lowassa ameanza ziara yake asubuhi hii ambapo anapanda katika usafiri huo wa umma kwa lengo la kuwafikia wananchi wa maisha ya chini kabisa ili awasikilize kwa ukaribu na kufahamu kero zao. Katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO6EqJBByUGtpgR91N0dEdGndwronEctmJhhO2bAPQgXPB*REw9ULqN-Rnn8qWBGa2OtGRenwnD-*jOvilB7pL24/MAMAWEMA.jpg?width=650)
STEVE NYERERE, HEBU ACHANA NA ZILE ZA RAY
9 years ago
Bongo506 Jan
New Video: Wakazi – Kanuni za Hela
![20160105234058](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/20160105234058-300x194.jpg)
Another single from the Upcoming album (Kisimani) this one is dubbed ‘Kanuni Za Hela’ which in Swahili means “principles of money” both making it & keeping it.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!