Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ronaldo amfariji Mourinho kufuatia kuanza vibaya msimu wa 2015/2016

 

Untitled

Cristiano Ronaldo akiwa na kocha wake wa zamani Jose Mourinho.

Na Rabi Hume

Mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2014 na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo amemfariji kocha wake wa zamani Jose Mourinho anayeinoa kwa sasa Chelsea kuwa anamwamini ana uwezo wa kubadili matokeo wanayoipata klabu anayoiongoza ya Chelsea.

Ronaldo ambaye aliwahi kufundishwa na kocha huyo 2011-2013 amesema uwezo wa Mourinho ni mkubwa na hana shaka kwamba atarudisha mambo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL

Smalling-Vardy-Ozil-De-Bruyne

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.

Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.

Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;

Golikipa

Jack Butland -Stoke...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU 16 KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU WA 2015/2016

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa.
Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko...

 

9 years ago

StarTV

TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.

Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.

 

TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo rekodi waliyojiwekea Bayern Munich katika uwanja wao wa nyumbani Allianz Arena kwa msimu wa 2015/2016

Kikosi cha Bayern Munich

Kikosi cha Bayern Munich.

Nembo ya Bayern Munich

Nembo ya Bayern Munich.

Na Rabi Hume

Klabu ya Bayern Munich inayoshiriki ligi kuu ya nchini Ujerumani (Bundesliga) msimu wa 2015 imeanza msimu huu kitofauti kutokana na kasi walionayo katika michezo ya Bundesliga na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya jambo limelofanya timu hiyo kuvunja rekodi  ya kushinda mechi nyingi mfululizo na kuwe na wastani mzuri wa magoli wawapo nyumbani.

Tangu kuanza kwa msimu huu Bayern Munich wamejiwekea rekodi ya kuwa na wastani mkubwa wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo akana kumsema vibaya Messi

Cristiano Ronaldo amekataa shutma kuwa amemsema vibaya kinara mwenzie katika kabumbu, Lionel Messi.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Messi amfunika Ronaldo vibaya

Hiyo ni kwa sababu umri wa Messi ni miaka 26 wakati Ronaldo ana miaka 29.

 

9 years ago

MillardAyo

Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5

Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]

The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.

Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.

Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.

Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani