Ronaldo kucheza mechi ya mwisho ya El Clasico
Cristiano Ronaldo atacheza mchezo wake wa mwisho wa El Clasico Jumamosi, huku kukiwa na taarifa kuwa ataondoka Real Madrid Mei mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Ukawa, CCM kucheza kete ya mwisho leo
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Man Utd kucheza mechi kwa heshima ya Rooney
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Sudan Kusini kucheza mechi ya kwanza Kombe la Dunia
10 years ago
GPLMOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI
11 years ago
CloudsFM29 May
BONGO FLAVA NA WAANDISHI WA HABARI KUCHEZA MECHI YA KUMUENZI NGWEA
Ijumaa hii kutakua na mechi ya mpira wa miguu kati ya wasanii wa Bongo Flava na waandishi habari mechi iliyoandaliwa kwa ajili ya kumuenzi marehemu Albert Mangwea ambaye alikua ni kipenzi cha watu bila kubagua makundi, msemaji wa team bongo fleva Rich One akizungumzia mechi hiyo.timu ya bongo flava list iko hivi 1. Goal Keeper Tunda Man
2. M2tha P
3. Rich One
4. Nyandu Toz
5. Kalapina
6. Abdu Kiba
7. Jeby
8. Amini
9. H baba
Inspekta Haroun
10. KR Mula
Kwenye Bench rizevu
Jay Moe, Fresh P,...
10 years ago
GPL10 years ago
StarTV08 May
Malinzi aagiza usimamizi mechi za mwisho VPL
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu huu 2014/2015 inafikia tamati kesho (Mei 9, 2015) ambapo timu zote 14 zitakuwa viwanjani katika mechi ambazo ndizo zitakazotoa hatma ya timu zinazoshuka daraja.
Mechi hizo zitakuwa kati ya Ndanda na Yanga (Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara), JKT Ruvu na Simba (Uwanja wa...