Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATOKEO YA MECHI TATU ZA MWISHO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ronaldo kucheza mechi ya mwisho ya El Clasico

Cristiano Ronaldo atacheza mchezo wake wa mwisho wa El Clasico Jumamosi, huku kukiwa na taarifa kuwa ataondoka Real Madrid Mei mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Man U yapoteza mechi ya tatu

London, England. Klabu ya Manchester United imepoteza mechi ya tatu mfululizo baada ya juzi kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Sunderland katika mechi ya nusu fainali ya kwanza ya kombe la ligi (capital one) England.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya Mechi za ligi ya Europa

Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku jana aliisaidia timu yake ya Everton kupata ushindi dhidi ya Dyanamo Kiev ya Ukraine wa magoli 2 kwa moja.

 

10 years ago

StarTV

Malinzi aagiza usimamizi mechi za mwisho VPL

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.

 

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu huu 2014/2015 inafikia tamati kesho (Mei 9, 2015) ambapo timu zote 14 zitakuwa viwanjani katika mechi ambazo ndizo zitakazotoa hatma ya timu zinazoshuka daraja.

 

Mechi hizo zitakuwa kati ya Ndanda na Yanga (Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara), JKT Ruvu na Simba (Uwanja wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Costa apigwa marufuku ya mechi tatu

Mchezaji wa Chelsea Diego Costa amepigwa marufuku ya mechi tatu kwa kumkanyaga makusudi mchezaji wa Liverpool Emre Can.

 

9 years ago

Bongo5

Matokeo ya mechi za Uefa Champions League

mtt

Michuano ya vilabu bingwa barani Ulaya iliendelea jana November 24 usiku kwa michezo nane ya hatua ya makundi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali barani Ulaya ambapo michezo hiyo ilikuwa kutoka kundi E, F, G pamoja na H.

ufaa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Matokeo ya mechi za Europa Ligi November 5

3519

Matokeo ya mechi mbali mbali za UEFA EUROPA zilizochezwa usiku wa Alhamisi yako hapa.

3519

MATOKEO MECHI ZA UEFA EUROPA LEAGUE…
Rosenborg 0-2 Lazio
Athletic Club 5-1 Partizan Belgrade
Belenenses 0-2 FC Basel
Sparta Prague 1-1 FC Schalke 04
Tottenham Hotspur 2-1 RSC Anderlecht
St Etienne 3-0 Dnipro Dnipropetrovsk
Skenderbeu Korce 3-0 Sporting Lisbon
Lech Poznan 0-2 Fiorentina
Asteras Tripolis 2-0 APOEL Nicosia
Dinamo Minsk 1-2 Villarreal
Borussia Dortmund 4-0 FK Qabala
FK Krasnodar 2-1 PAOK...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani