Man U yapoteza mechi ya tatu
London, England. Klabu ya Manchester United imepoteza mechi ya tatu mfululizo baada ya juzi kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Sunderland katika mechi ya nusu fainali ya kwanza ya kombe la ligi (capital one) England.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Costa apigwa marufuku ya mechi tatu
11 years ago
GPL
MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Man U yakwea nafasi ya tatu
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Rooney kukosa mechi muhimu Man Utd
11 years ago
BBCSwahili02 Oct
UEFA kuamua mechi ya Man City na CSKA
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Man Utd kumkosa Rooney mechi ya Uefa
9 years ago
Bongo505 Dec
Wayne Rooney atakosa mechi muhimu za Man Utd

Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney atakosa mechi ya nyumbani dhidi ya West Ham Jumamosi na pia mechi muhimu Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Wolfbsurg kutokana na jeraha.
Rooney mwenye umri wa miaka 30 aliumia kataika mechi waliyotoka sare 1-1 ugenini na Leicester City wikendi iliyopita na atahitajika kusubiri muda zaidi kuchezea klabu hiyo mechi yake ya 500 kutokana na jeraha la kifundo cha mguu.
Louis van Gaal amesema tatizo hilo ni mbaya zaidi ya ilivyodhaniwa, United...
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
Man Utd kucheza mechi kwa heshima ya Rooney