Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rooney : magoli yatakuja tu!

Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney amesema ''magoli yatakuja'' baada ya kuanza msimu mpya bila ya kufunga goli lolote.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rooney avunja rekodi ya magoli England

Wayne Rooney ameivunja rekodi ya upachikaji mabao ya muda wote katika timu ya taifa ya England, iliyokuwa ikishikiliwa na Sir Bobby Charlton.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukame wa magoli wamuandama Suarez

Suarez aeleza kutofurahishwa na kitendo cha kutozifumania Nyavu na kung'ara kwa mambo msimu huu. Anasema ukame umekithiri

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YAINYUKA NDANDA FC MAGOLI 3- 0

 Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. (Pichana Francis Dande) Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Ndanda FC. Mchezaji wa Ndanda FC akimiliki mpira.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia.Kipa wa Ndanda FC akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.

 

10 years ago

BBCSwahili

sheria ya magoli ya ugenini irekebishwe

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema sheria ya mabao ya ugenini inapaswa kutumika baada ya muda wa nyongeza

 

11 years ago

BBCSwahili

Adebayor atinga magoli mawili

Na kuisadia klabu yake ya Tottenham kuilaza Swanswa kwa magoli 3-1

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona wafungwa magoli manne La Liga

Barcelona wamepata kichapo kikubwa zaidi La Liga enzi ya Luis Enrique baada ya kulazwa 4-1 na Celta Vigo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal watingwa magoli matano na Bayern

Arsenal wana kibarua kigumu kufuzu kwa hatua ya muondoano Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kupokezwa kichapo kikubwa na Bayern Munich.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani