Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROONEY, MATA WAMKOA MOYES

Straika Wayne Rooneywa  Manchester United akishangilia goli lake la pili dhidi ya Aston Villa uliopigwa kwenye uwanja wa Uwanja wa Old Trafford, maskani kwa Man United.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mata ajasiliwa na Manchester United

Manchester United hatimaye imemsajili Juan Mata kutoka Chelsea kwa kitita cha pauni milioni thelathini na saba

 

11 years ago

Mwananchi

Juan Mata aanza kwa Solskjaer

Macho na masikio ya mashabiki wa Manchester United leo yatakuwa kwa nyota wao mpya, Juan Mata wakati watakapoivaa Cardiff City kwenye Uwanja wa Old Trafford.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho: ilikuwa vigumu kumwachia Mata

Jose Mourinho amesmea kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia Juan Mata kujiunga na Manchester United.

 

9 years ago

Mtanzania

Mata aipa ubingwa Manchester United

during the Barclays Premier League match between Manchester UnitMANCHESTER, ENGLAND

MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Juan Mata, anaamini kuwa klabu hiyo itafanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.

Mchezaji huyo amesema timu hiyo ilikuwa na wakati mgumu katika baadhi ya michezo yake, lakini kwa sasa ipo katika nafasi nzuri ya kuweza kuchukua ubingwa wa michuano hiyo.

Klabu hiyo inajivunia kucheza michezo minne mpaka sasa bila kufungwa mara baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Arsenal, ambapo walipokea kichapo cha mabao 3-0.

“Ngoja tuone...

 

11 years ago

GPL

MATA ATUA MAN UNITED KWA ADA YA £37M

Juan Mata. MANCHESTER United imekubali kulipa ada ya pauni milioni 37 ambayo ni rekodi kwa klabu ili kumnasa Juan Mata kutoka Chelsea na hii inasaidia kidogo kupoza machungu ya kutolewa Capital One Cup. Bosi wa Chelsea Jose Mourinho ameidhinisha dili hilo baada ya mazungumzo na maofisa wa klabu na sasa Mata anategemewa kufanya vipimo vya afya jijini Manchester kesho Alhamisi. Mtendaji mkuu wa Manchester United amekubali kuvunja...

 

5 years ago

Mirror Online

Juan Mata's positive response when asked about Man Utd transfer target Jadon Sancho

Juan Mata's positive response when asked about Man Utd transfer target Jadon Sancho  Mirror Online‘Sancho, Grealish or Maddison? Why not get all three!’ – Man Utd offered transfer advice by Brown  Goal.comMan Utd chief Ed Woodward forced back to drawing board after Jadon Sancho decision  ExpressMarcus Rashford, Jadon Sancho and Trent Alexander-Arnold to battle in FIFA20 tournament  Mirror Online'What do you want me to say?' - Mata praises Sancho amid Man Utd links  Goal.comView Full coverage...

 

11 years ago

GPL

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya jijini London kwa kitita cha pauni milioni 37 sawa na shilingi bilioni 99.3 za Kitanzania. Swali: Ataweza kuisadia timu hiyo yenye matokeo mabovu katika Ligi Kuu ya England na michuano mbalimbali inayoendelea ikiwa ni siku moja tu imeondolewa katika michuano ya Capital One Cup na Sunderland? INGIA HAPA KUTOA MAONI YAKO: JUAN… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mustakabali wa Moyes Man U

Magazeti nchini Uingereza yanasema kuwa klabu hiyo huenda ikamfuta kazi Moyes

 

10 years ago

BBCSwahili

Sociedad wamwita Moyes

Kocha wa zamani wa timu ya Manchester United David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa timu ya kutoka Hispania,Real Sociedad.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani