ROSE MHANDO ATUMBUIZA NA KITUMBO
Stori: Mwandishi Wetu, Singida BAADA ya kudaiwa kulipwa fedha na kuingia mitini kwenye matamasha mbalimbali, mwanamuziki ‘grade one’ wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani) amenaswa akitumbuiza jukwaani akiwa na ujauzito mkubwa. Mwanamuziki ‘grade one’ wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando akitumbuiza. Tukio hilo lililowashangaza watu wengi lilitokea Jumapili iliyopita katika Kijiji cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLROSE MHANDO; KIMYA KINAMAANISHA NDIYO?
NADHANI kati ya waimbaji wenye kufanya vizuri zaidi katika muziki wa Injili nchini, huwezi kumweka kando Rose Mhando ambaye amefanya kazi nyingi zilizompatia umaarufu mkubwa katika ukanda wote wa Afrika Mashariki. Licha ya kutoa albamu zake mwenyewe, lakini pia ameimba kwa kushirikishwa na waimbaji wengine wengi maarufu katika eneo hili na hivyo kumfanya wakati f’lani awe ndiye msanii wa muziki huo anayelipwa zaidi kuliko...
10 years ago
GPLWAIMBA INJILI WAMTENGA ROSE MHANDO
STORI: Mwandishi Wetu/Amani MAZITO tena! Kufuatia madai ya kuchoropoa mimba ya miezi saba kulikodaiwa kufanywa na mwimba Injili nyota Bongo, Rose Mhando, baadhi ya waimbaji wenzake wamesema hawawezi kuwa naye karibu tena katika huduma. Mwimba Injili nyota Bongo, Rose Muhando. Wakizunguza na Amani kwa nyakati tofauti, waimba Injili hao walioomba majina yao kupigwa ‘kufuli’ walisema, kama kweli Rose aliitoa mimba ile...
11 years ago
MichuziRose mhando aibuka na nyimbo mpya ya "Facebook"
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini Rose Muhando ameibuka na wimbo mpya uitwao Facebook.
Akizungumzia wimbo huo, Rose amesema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii hasa vijana kwa sababu una ujumbe mzuri ambao utagusa wengi.
“Sitaki kuwaambia nimeimba nini, lakini Facebook ni wimbo mzuri na mashabiki wangu naamini wanatambua kwamba mimi si mtu wa masihara ninapotunga kazi zangu,” alitamba mwimbaji huyo.
Alieleza kuwa wimbo huo utakuwa katika albamu yake mpya...
11 years ago
GPL‘PINDO LA YESU’ YA ROSE MHANDO YAZINDULIWA JANA
Rose Mhando akicheka wakati wa uzinduzi wa albamu yake. Nyuma ni waimbaji wake.
Mchungaji Maboya akitoa neno katika uzinduzi huo.
Watu waliofurika katika tukio hilo.…
10 years ago
GPLROSE MHANDO: NILITEKWA KWA BASTOLA NIKAPELEKWA PORINI KUFANYA MAPENZI
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume mmoja, akampeleka msituni ambako alimlazimisha kuwa naye kimapenzi lakini akadunda. Nyota wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando. Akizungumza na Gazeti la Amani juzi, Rose alieleza kwa machungu kwamba, tukio hilo lilimkuta hivi karibuni...
11 years ago
MichuziROSE MHANDO ALIZWA NA WEZI WALIOIBA ALBAMU YAKE MPYA KABLA HAJAITOA JUMAPILI
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya "Kamata Pindo la Yesu" albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili.Taaifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi.“Albamu ya Kamata Pindo...
10 years ago
GPLNEEMA CHANDE AIBUKA NA KITUMBO
Imelda Mtema
Baada ya kupotea kwa muda mrefu, msanii wa filamu ambaye pia ni Miss Ruvuma 2007, Neema Chande ameibuka akiwa na mimba kubwa huku kukiwa na usiri juu ya mhusika wa tumbo hilo. Msanii wa filamu ambaye pia ni Miss Ruvuma 2007, Neema Chande. Neema hivi karibuni alikimbilia nchini India kusaka maisha na alipozungumza na mwandishi wetu juzi kwa njia ya simu alisema, watu wajue tu kwamba ana mimba aliyopewa na Muafrika...
5 years ago
BBCSwahili27 May
Mwanamuziki kutoka Denmark atumbuiza mashabiki wake.
Mwanamuziki Mads Langer ametumbuiza mashabiki wake kwenye tamasha lililofanyika eneo la kuegesha magari huko Copenhagen,Denmark.
11 years ago
GPLODAMA APIGA MZIGO KITUMBO NDII
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema japokuwa ni mjamzito lakini bado ana kasi zaidi katika kufanya kazi zake za filamu. Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akipiga stori na paparazi wetu, Odama alisema watu wengi wanaamini unapokuwa mjamzito unaacha shughuli zako lakini kwake mambo ni tofauti, kazi kama kawaida. “Mimi mzigo hapa naendelea kama kawaida wala mimba siyo kigezo cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania