Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROSE MUHANDO ADAIWA KUINGIA MITINI NA MILIONI MOJA

Stori: SHANI RAMADHANI
MSANII nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kuingia mitini na shilingi milioni moja alizolipwa kwa ajili ya kutumbuiza kwenye uzinduzi wa albamu ya Injili ya John Lisu iitwayo Uko Hapa, Jumapili iliyopita. Msanii nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose alimegewa kiasi hicho cha pesa na Kampuni ya Msama… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ADAIWA KUTAPELI TENA!

Na Andrew Carlos MWANAMUZIKI mkali wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amedaiwa tena kuhusika katika utapeli wa shilingi milioni mbili. Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando. Muandaaji wa shoo hiyo, Ibrahim alidai kuwa Rose alitumiwa kiasi hicho cha pesa kama sehemu ya malipo ya kazi hiyo iliyokuwa ifanyike Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Landmark uliopo Ubungo, jijini Dar lakini hakutokea. “Huu ni...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ADAIWA KUBWIA UNGA!

Stori: Mwandishi Wetu
HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga’ yanayomfanya kuwa hoi kiasi cha kushindwa kutokea kwenye matamasha mbalimbali anayolipwa fedha, Risasi Jumatano linateremka nayo. Nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. Kwa mujibu wa vyanzo, Rose anadaiwa kutumia unga...

 

10 years ago

Bongo Movies

MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki

Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake

Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William Mtitu ambacho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kumwajibisha Steve Nyerere kwa madai hayo.

“Kuna...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJANA HAWA WALIMU WANATAFUTWA NA WANAFUNZI WAO BAADA YA KUINGIA MITINI NA PESA ZA FIELD

Matapeli waliotambulika kwa majina ya Innocent Joseph na Kakamba, Iden na Wenzao wawili, wanaotokea Kampuni ya Utafiti ya Research Solution Africa, wamekuwa wakifanya kazi ya kupokea Tenda za Research na watu wamekuwa wakilipwa kwa siku, usiku na mchana ikitegemea na mteja anayefadhili zoezi hilo la utafii.
Mfano miongon mwa benki zinazodhamini ni World Bank ambapo huwa wanawalipa watu kiasi cha Sh. 25,000/= kwa Mkoa wa Dar es Salaam, na iwapo watasafiri mikoani vijini watalipwa kiasi cha Sh....

 

9 years ago

Habarileo

Rose Muhando matatani

MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWEWESEKA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando. MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi,...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Muhando aibuka na ‘Facebook’

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani