Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose Ndauka Aamua Kuwekeza Kwenye Huku

Msanii maarufu wa filamu, Rose Ndauka ameamua kujitosa kwenye muziki kwa kuanzisha kundi la vijana wenye vipaji litakalosimamiwa na kampuni yake ya Rosie.

Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Rose amesema licha ya vijana hao kutunga wimbo wa kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi, kundi hilo linaendelea kufanya kazi za muziki.

“Hiki ni kipindi cha uchaguzi, kwahiyo nikasema nitashiriki vipi mimi kama msanii kuwaelimisha Watanzania wenzangu ili tuwe na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka aamua kuwekeza kwenye muziki

Msanii maarufu wa filamu, Rose Ndauka ameamua kujitosa kwenye muziki kwa kuanzisha kundi la vijana wenye vipaji litakalosimamiwa na kampuni yake ya Rosie. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Rose amesema licha ya vijana hao kutunga wimbo wa kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi, kundi hilo linaendelea kufanya kazi za […]

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA USIMTAFUTE MCHAWI KWENYE MATUKIO YAKO MABAYA!

Mwigizaji maarufu wa sinema za kibongo, Rose Ndauka. KWAKO mwigizaji unayezitendea haki sinema za Kibongo, Rose Ndauka. Mambo vipi dada yangu? Habari za siku nyingi? Kitambo kidogo hatujaonana, nafikiri ni kutokana na majukumu yetu kuwa mbalimbali. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima nashukuru Mungu maisha yanasonga kama kawaida, naendelea kusukuma gurudumu la maendeleo na moja ya majukumu yangu ya kila siku ni kuwakumbuka...

 

11 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!

BRIGHTON MASALU
MAHABA niue! Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’ wamenaswa ‘laivu’ wakiwa katika mapozi ya kimahaba mazito jambo lililozua minong’ono miongoni mwa wengi. Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’. Tukio hilo...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI

Wakitoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja kuelekea Lumumba kuanza kazi. Meya wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa akiwa kazini. Wakiwa…

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua, kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri. Rose alisema, kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mkono mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya mtu azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. “Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani