Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUBANI APATA MAJERAHA BAADA YA NDEGEVITA YA JWTZ KUANGUKA MWANZA


 Ndege hiyo kabla ya kuruka.Moto mkubwa ukiwaka baada ya Ndege Vita ya Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kuanguka katika uwanja wa jeshi Mwanza baada ya kupata hitilafu.
Rubani wa ndgevita hiyo Meja Peter Lyamunda  alipoona ndege yake inawaka moto alifanikiwa kujirusha nje ya ndege hiyo kwa kutumia vifaa maalum na kufanikiwa kuokoa maisha yake ingawa amepata majeraha katika mguu wakati wa kujiokoa. Picha Juu ni Mabaki ya ndege hiyo baada ya moto kuzimwa. Rubani wa Ndege hiyo   Baadhi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amtembelea Rubani wa ndegevita Hospitali ya Jeshi Lugalo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakimjulia hali Meja Peter Lyamuya aliyelazwa katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam akiuguza jeraha la mguu alilopata baada ya ndege ya kivita aliyokuwa akiiendesha kuanguka na kulipuka wiki iliyopita.Askari huyo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) alinusurika kifo baada ya kufanikiwa kujiokoa katika ajali hiyo iliyosababishwa na ndege mnyama kuingia kwenye injini na kusababisha hitilafu iliyopelekea kushika moto,...

 

9 years ago

Bongo5

Marcus Rojo apata majeraha aumia bega mazoezini

2ECEEEDA00000578-0-image-m-5_1449173168935

Beki wa kushoto wa Klabu ya Manchester united Marcus Rojo atakua nje ya uwanja kwa muda wiki kadhaa baada ya kuumia bega wakati wa mazoezi.

2ECEEEDA00000578-0-image-m-5_1449173168935

Rojo alipata ajali hiyo ya kufanyatuka bega ilitokea wakati wa mazoezi ya Alhamis kwa bega lilelile lilofyatuka msimu uliopita katika mchezo dhidi ya Manichester City.

Rojo hakufanyiwa upasuaji kwa jeraha hilo ila alikaa nje ya dimba kwa muda wa wiki nne.

Klabu yake bado haijazungumzia swala la beki huyu ila ikitarajiwa kuwa leo ijumaa kocha mkuu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege ya JWTZ yaanguka, rubani wake ajiokoa kwa parachuti

Hali ya taharuki ilitanda kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya ndege ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuanguka na kuteketea kwa moto.

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA JESHI YAANGUKA MWANZA, RUBANI ANUSURIKA

Muonekano wa ndege ya ndege ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao)
NDEGE ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika  wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu. Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege… ...

 

9 years ago

GPL

MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.…

 

10 years ago

GPL

KATIBU BAKWATA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya
MAJANGA! Siku chache baada ya aliyekuwa Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo kufariki dunia akiwa kaburini akizika, kiongozi mwingine wa Kiislam, Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa naye amefariki dunia baada ya kuanguka chooni. Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa (wa pili kushoto) wakati wa uhai wake. Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Mugabe atimua walinzi wake 27 baada ya kuanguka

>Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewasimamisha kazi walinzi wake 27 ikiwa ni siku chache baada ya kuanguka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare wakati akirejea nyumbani akitokea Addis Ababa, Ethiopia.

 

10 years ago

GPL

AUGUST ALSINA AENDELEA NA MATIBABU BAADA YA KUANGUKA JUKWAANI NA KUZIMIA

MWANAMUZIKI wa R&B wa nchini Marekani, August Alsina anaendelea na matibabu hospitali baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo na kuanguka jukwaani usiku wa kuamkia jana wakati akitumbuiza katika ukumbi wa Irving Plaza jijini New York. August Alsina. Mwakilishi wa mwanamuziki huyo amesema August yupo ICU katika hospitali moja jijini New York City anapoendelea kupata… ...

 

11 years ago

GPL

AFARIKI BAADA YA KUANGUKA KATIKA JENGO LA BENKI JIJINI LONDON

Sehemu ya juu ya jengo la benki ya PJ Morgan (iliyozungushiwa mduara mwekundu) ambayo mtu huyo anasemekana alijirusha na kuangukia sehemu ya chini (yenye mduara) na kufa. Eneo la jumla la sehemu lilipotokea tukio hilo. (Picha: David Price) MTU mmoja mwenye umri wa miaka 39, amefariki leo asubuhi majira ya saa mbili baada ya kuanguka kutoka jengo la makao makuu ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani