Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saa nne za Maximo kudadadeki

Wilbert Molandi, Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alianza kazi yake kwa mkwara mzito huku kila aliyehudhuria akionyesha kutikisa kichwa kuikubali. Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na kocha msadizi, Leonado Martins (wa kwanza kushoto) kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana Coco. Maximo majira ya saa mbili kamili asubuhi alikwishatua kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Maximo aleta fomesheni nne Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amepanga kuthibitisha kuwa yeye ni bora kwa kutumia mifumo minne katika mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.
Kauli hiyo ameitoa kocha huyo akiwa na wiki tatu tangu aanze kukinoa kikosi hicho kinachojiandaa na ligi na michuano ya kimataifa watakayoshiriki mwakani. Akizungumza na Championi Jumamosi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo, wachezaji wateta saa moja

KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alifanya kikao na wachezaji wake kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiweka mikakati mbalimbali ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi...

 

10 years ago

Mwananchi

Lema, wenzake 24 rumande kwa saa nne

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine 24 juzi walijikuta wakiwekwa mikononi mwa polisi kwa saa nne kutokana na purukushani za uandikishaji wa wapigakura katika mfumo wa BVR.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawazo kuagwa kwa saa nne jijini Mwanza

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kitaifa leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini hapa tukio litakalotumia saa nne na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa kitaifa wa chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yafunga barabara kwa saa nne Kibaha

Mamia ya abiria waliokua wanasafiri kupitia barabara kuu  ya Dar esalam - Morogoro leo wamekwama kwa zaidi saa nne katika eneo la Bamba Kata ya Kongowe mjini Kibaha baada ya magari matano kugongana na kisha kuziba barabara.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo

Mvua zilizonyesha kwa saa nne mfululizo  jijini Tanga zimesababisha kuongezeka kwa maeneo yaliyoathirika na mafuriko huku baadhi ya nyumba zikibomoka na idadi ya waliolazimika kuhama makazi ikiongezeka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani