Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za wanaume kuota matiti

>Tatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto wa kiume limekuwa kubwa katika dunia ya leo.Inawezekana wakati unatembea njiani ukaona wanaume au watoto wadogo wa kiume wakiwa na matiti tena makubwa  ambapo watu wengi  huchukulia kama ni kawaida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanawake hatarini kuota ndevu, wanaume matiti

IDARA ya Afya ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeonya wakazi wake wanaotumia vipodozi vilivyotengenezwa na viambata vyenye sumu aina ya ‘Steroids’.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hii Ndio Sababu Kipindi cha TV cha Rose Ndauka Kuota Mbawa

Staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka ambaye miaka miwili iliyopita alianzisha kipindi chake cha TV kilichopewa jina la ‘Family Talk Show’. Kupitia kampuni yake, muigizaji huyo alianza kurekodi episodes kadhaa za show hiyo ili zianze kuruka kwenye TV.

Hata hivyo kipindi hicho hakijawahi kuonekana na ni kama kiliishia hewani. “Kipindi changu.. niliibiwa vitu vyote ofisini lakini ndoto yangu ya utangazaji iko pale pale,”  Hivi majuzi Rose aliiambia Kabali ya EFM.

Mwanzoni mwa mwaka 2013, Rose...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi

mam10

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!

Mambo vipi msomaji wa safu hii. Bila shaka unaendelea vizuri na harakati zako za kimapenzi na kwa mara nyingine upo tena katika safu hii ili kufuatilia nini kimejiri. Moja ya tatizo kubwa kabisa linalowasumbua wapenzi wengi ni tabia ya kutoaminiana baina yao. Kila mmoja hudhani mwenzake anakwenda kinyume na hili, mara nyingi lawama huenda zaidi kwa wanaume kwani ni wepesi kuchepuka.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu...

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2

NI matumaini yangu wapenzi wasomaji wa safu hii mko poa. Leo tunamalizia vipengele vilivyosalia wiki iliyopita, ungana nami. 6.Karaha
Hili pia ni tatizo la wanawake ambalo hawapendi kulikubali. Karaha nyumbani dhidi ya mwanaume huweza kumfanya ajisikie kuhitaji faraja nje ya nyumba. Na wanawake wengi wakimuona mwanaume yupo peke yake baa, hujua kuwa atakuwa amekimbia maudhi ya mkewe na anahitaji faraja. 7.Huruma ya wanawake
...

 

9 years ago

Global Publishers

Sababu 6 za wanaume kuwahi kufika kileleni -4

couplesKama tulivyoona, wiki iliyopita tuliishia katika kuliangalia kwa undani tatizo hili la mwanaume kuwahi kufika kileleni kuwa ni kuhusu kuwa na mbegu chache za kiume.

unaposema mbegu ni chache kuliko kiwango ni kwamba unatoa kiwango cha mbegu za kiume chini ya milioni kumi na tano, kila tendo moja.

Kiwango hicho kikiwa chini ya hapo, basi uwezekano wa kumpa mwanamke mimba haupo na badala yake unafanya tu tendo la ndoa lakini uwezo wa kusababisha ujauzito haupo. Sasa endelea na mada yetu ili...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 4

Baada ya wiki iliyopita kuelezea mambo kadhaa yanayosababisha wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa, leo nitaelezea tatizo la kuwahi kufika kileleni Katika vitu ambavyo wanaume wengi hawapendi vijulikane na wenzi wao ni tatizo la kuwahi kufika kileleni. Kila mwanaume hupenda aonekane ni rijali au mwanaume kamili mwenye uwezo wa kushiriki tendo la ndoa bila shida yoyote. Na imezoeleka katika jamii zetu ikiwa mwanaume atakuwa ana...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai muwazima wa afya. Leo katika mada yangu hii, nataka kuzungumzia zaidi sababu za wanaume wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa. Kama ilivyo matatizo mengine, tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa kama ilivyo kwa wanawake. Katika makala haya, tutaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake. Mwili wa mwanadamu uliumbwa na matamanio na si...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani