Sababu 6 za wanaume kuwahi kufika kileleni -4
Kama tulivyoona, wiki iliyopita tuliishia katika kuliangalia kwa undani tatizo hili la mwanaume kuwahi kufika kileleni kuwa ni kuhusu kuwa na mbegu chache za kiume.
unaposema mbegu ni chache kuliko kiwango ni kwamba unatoa kiwango cha mbegu za kiume chini ya milioni kumi na tano, kila tendo moja.
Kiwango hicho kikiwa chini ya hapo, basi uwezekano wa kumpa mwanamke mimba haupo na badala yake unafanya tu tendo la ndoa lakini uwezo wa kusababisha ujauzito haupo. Sasa endelea na mada yetu ili...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA-2
10 years ago
GPL
TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA!
10 years ago
Vijimambo04 Mar
AENDA JELA KWA KUWAHI KUFIKA KAZINI MAPEMA

Mwendesha lori la kuzoa taka kwenye majumba ya watu mji wa Sandy Spring jimbo la Georgia nchini Marekani anatakiwa kwenda jela wikiendi 14 kwa kisa ni kuwahi kuchukua taka mida ya saa 11 asubuhi badala ya saa 1 asubuhi.na kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala.
Kervin McGill yeye mwenyewe alibaki mdomo wazi baada ya kusomewa mashitaka kwamba anapochukua taka saa 11 asubuhi anawapigia kelele waliolala na inakua usumbufu kwa wengine na majirani hao...
5 years ago
BBCSwahili09 Mar
Sababu zinazofanya wanawake kujifanya wamefika kileleni
11 years ago
Bongo530 Oct
Bob Junior atoa sababu ya nyimbo zake za sasa kushindwa kufika mbali
10 years ago
GPL
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Sababu za wanaume kuota matiti
10 years ago
GPL
ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!