TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA-2

Wiki iliyoipita tuliishia katika kipengele cha tatu cha tatizo la kisaikolojia. Tuendelee… Ndoa nyingi zimekua zikivunjika kwa sababu mbali mbali lakini sababu kubwa na imekua ikitokea kwa watu wengi sana ni sababu ya kutokushiriki vizuri tendo la ndoa na mara nyingi inapotokea kwa wanaume. Kuwahi kufika kileleni limekua ni tatizo kubwa sana ambalo linawasumbua watu wengi sana na husababisha ndoa nyingi sana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA!
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Sababu 6 za wanaume kuwahi kufika kileleni -4
Kama tulivyoona, wiki iliyopita tuliishia katika kuliangalia kwa undani tatizo hili la mwanaume kuwahi kufika kileleni kuwa ni kuhusu kuwa na mbegu chache za kiume.
unaposema mbegu ni chache kuliko kiwango ni kwamba unatoa kiwango cha mbegu za kiume chini ya milioni kumi na tano, kila tendo moja.
Kiwango hicho kikiwa chini ya hapo, basi uwezekano wa kumpa mwanamke mimba haupo na badala yake unafanya tu tendo la ndoa lakini uwezo wa kusababisha ujauzito haupo. Sasa endelea na mada yetu ili...
10 years ago
GPL
TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA
10 years ago
Vijimambo04 Mar
AENDA JELA KWA KUWAHI KUFIKA KAZINI MAPEMA

Mwendesha lori la kuzoa taka kwenye majumba ya watu mji wa Sandy Spring jimbo la Georgia nchini Marekani anatakiwa kwenda jela wikiendi 14 kwa kisa ni kuwahi kuchukua taka mida ya saa 11 asubuhi badala ya saa 1 asubuhi.na kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala.
Kervin McGill yeye mwenyewe alibaki mdomo wazi baada ya kusomewa mashitaka kwamba anapochukua taka saa 11 asubuhi anawapigia kelele waliolala na inakua usumbufu kwa wengine na majirani hao...
11 years ago
CloudsFM01 Aug
NAAZIZ AANIKA CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE
First Lady wa The East African Bashment Crew, kundi linaloundwa na wasanii kutoka nchi za Uganda, Bebe Cool na Kenya, Wyre na Naaziz ambaye hivi karibuni alidondoka bongo kwa ajili ya Listening Party ya album ya Mzee Mnyama Tid, 255 ya clouds fm ilipata nafasi ya kuzungumza naye japo anakuaga mgumu wa kutiririka mambo yake, 255 ilimshawishi mwanadada huyu ambaye mwishoni mwa mwaka jana ndoa yao ilitangazwa kuvunjika, chanzo kilikua nini naaziz.
Aidha miezi kadhaa iliyopita habari zilizagaa...
11 years ago
GPL
NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
11 years ago
GPL
NDOA YA MAIMARTHA YANUSURIKA KUVUNJIKA
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL25 May